#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

Sijakuelewa mkuu inamaana zile takwimu ni uzushi tu, mbona mh rais hajamtumbua waziri?
 
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina gates na Kimambo? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?
Mkurugenzi wa takwimu kumbe Africa nchi zinakaribia 70.? Mbona ni Geography darasa la pili
 
Totaly wrong..
 
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina gates na Kimambo? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?
wanapitia barua zetu tulizooomba watusamehe madeni na wengine wanapitia maombi yetu ya kupewa fedha za uchaguzi mkuu
 
Ule utaratibu wa TRA kutangaza kwa mbwembwe makusanyo ya kila mwezi uliishia wapi ?
 
Ndio raha ya kuwa na Waziri wa afya mrembo...odo umy alimuita bwana kolonya chemba wakazungumza,wakakubaliana kinamna jamaa kalizika kasepa.

Tz maisha yanaendelea.
 
Ndio raha ya kuwa na Waziri wa afya mrembo...odo umy alimuita bwana kolonya chemba wakazungumza,wakakubaliana kinamna jamaa kalizika kasepa.

Tz maisha yanaendelea.
Hahahah, chemba waliongea nini sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maisha ya Africa yenyewe ni corona tupu,corona ilipotea njia , mi nimekaa ulaya na America nimetembea china na nchi nyingi za South America . sisi huku ni kama kuku wa kienyeji tunajiokotea tu chakula chochote. Africa ni chafu sana , Magonjwa ni mengi ya kila namna . Nadhani corona ilipotea njia , sana sana wadudu wa corona watakufa wao wamekuja sehemu sio yao. ndio maana Africa tuko salama, hata dhambi zetu sio kama za wazungu wale ni wachafu wa dhambi wamefikia kuoana na mbwa. sasa wamekuwa chukizo mbele ya Mungu. hiyo ni Adhabu kutoka kwa Mungu.
 
Actually kuwa MuAfrika muda mwingine ni Corona tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…