Hilo titalifanya, sasa tunawataka wale walioshinda kura za maoni wasisubirie hisani, waingie kwenye uchaguzi kwa kuamini watachaguliwa na waliowapa ushindi jimboni.WAJUMBE tupo pamoja sana. Ninyi ndiyo mnaowajua fika WATIA NIA na mnaishi nao mtaani. Siyo NEC. Kutoheshimu uamuzi wenu ni kosa kubwa sana na dharau iliyokithiri. Sasa mna kura moja ya turufu. Ni kutowapigia kura ya NDIYO Oktoba 28.
Huko ni kuwaonea, wao ndio chaguo la wananchi.Wakafanye kazi nyingine,ubunge sio wao peke yao.
Tumieni akili zenu. Akili za kuambiwa ongeza na zakoUlikuwa mshindi halali kura za maoni, lakini Watawala wajuu wakakukata jina lako na kumuweka mtu wanayemtaka.
Kisha mliokatwa mkaambiwa muwapigie kampeni hawa mahasimu wenu, kwa ahadi kwamba mmeshafanyiwa vetting mtateuliwa kwenye nafasi zingine...
Sio wote waliokatwa walikuwa wabunge kabla.Mmekatwa na nyie mjiajiri kama mnavyo wambia watu mkiwa bungeni.
🤸🤸🤸🤸Shushu limeenda shule ..hapa mada ni Kura...sio kula🤣🤣🤣🤣 Viva LissuHahaha kama alishinda "kula" huyo anaweza kuwa alikuwa anashindania vitu tofauti na mjadala huu.
Tunaongelea walio porwa ushindi kura za maoni.
Suti za kijani unaweza kuwapa TOT ukabadiri maisha kwa kuvaa kombati.Ha haa! Wacha tuendelee kucheza mdumange wa CCM... Watu tulisha shona suti za kijani sasa tutaenda nazo wapi.. Ngoja tuendelee ku socialize huku huku CCM tukisubiri miezi 62 ipite!
Hahaha yeye alijibu utadhani kachanjwa chanjo ya ujinga.🤸🤸🤸🤸Shushu limeenda shule ..hapa mada ni Kura...sio kula🤣🤣🤣🤣 Viva Lissu
Hahaha wamedumazwa akili zao kwa chanjo ya ujinga.Tumieni akili zenu. Akili za kuambiwa ongeza na zako
Halafu wakiunga mkono juhudi mtasema wamenunuliwaFanyeni maamuzi sasa, nendeni vyama vingine mkagombee kama mnaamini mlishinda na mtashinda nafasi za kuchaguliwa.
Ni kweli sio wote ila saivi ubunge umekuwa lulu zaidi ya tanzaniteSio wote waliokatwa walikuwa wabunge kabla.
Uongozi ni hiyari kwa wanaoongozwa, sio matakwa ya watawala kutuchagulia wampendaye.
Wacha tu tubaki huku huku ili tuendelee kumkumbusha Slow slow kuwa btn now n then, kila mmoja atapaswa kula kule alikopeleka mboga!Suti za kijani unaweza kuwapa TOT ukabadiri maisha kwa kuvaa kombati.
Ndiyo kazi uhitaji kuandamana kulipwa mshahara, ndiyo kazi ukistaafu hufuatilii pesa ya kiinua mgongo.Ni kweli sio wote ila saivi ubunge umekuwa lulu zaidi ya tanzanite
Hahaha tunataka wananchi wapewe chaguo lao sio chama, kama kungekuwa na mgombea huru kuna haja gani ukajinyeenyee kwa kina Bashiru, Magufuli na Polepole?!Halafu wakiunga mkono juhudi mtasema wamenunuliwa
Kwani upinzani hakuna watu mpaka mtegemee makapi ya ccm?
Hahaha kubaki ccm kwa ahadi ya cheo ni ujinga lakini, hulioni hilo, kwamba aliyekukataa leo eti kesho akuteue, how?!Wacha tu tubaki huku huku ili tuendelee kumkumbusha Slow slow kuwa btn now n then, kila mmoja atapaswa kula kule alikopeleka mboga!
Kwani Ni lazima wawe wabunge?Hahaha tunataka wananchi wapewe chaguo lao sio chama, kama kungekuwa na mgombea huru kuna hsja gani ukajinyeenyee kwa kina Bashiru, Magufuli na Polepole?!
Usiwavunje moyo chama cha mapinduzi na serikali yake kuna nafasi nyingi ya uongozi
Hahaha hoja sio kwenda ikulu, wabunge mwisho wao ni bungeni Dodoma.Kwani Ni lazima wawe wabunge?
Hamuwezi kwenda ikulu kwa kutegemea makapi ya ccm
CCM mwisho wenu si tarehe 28/10/2020 mtatoa wapi serikali ya kuwapa vyeo au mkishindwa hiyo tarehe 28/10/2020 mtaunda CHATO REPUBLIC OF SEPARATIONUsiwavunje moyo chama cha mapinduzi na serikali yake kuna nafasi nyingi ya uongozi