Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Haha dah mi sijasoma iyunga nimesoma mby sec ila nilikuwa nakaa iyunga na nilikuwa nacheza mkapu kwenye court ya iyunga mwakasege ndio kocha kisusange mzee wa kitaa!
Wacha nasisi Tujuane humu
Aisee nilimaliza pale miaka hiyooo ilikua noma sana one za kumwaga ,manunda wengi msuli kwa sana, menyu mesini utata,kirodi kwa babu miwa hahahahahh mama typist na viwese hahahh disco na watoto wa loleza a.k.a lozy maubabe ya mwl mwakasege,Mwakalindile pia super headmaster kisusange mzee wa cruiser mkonge a.k.a mweshimiwa plus ndudi mtanzania hahahah iyungazzzzzzz
Ha ha ha ha
Luthuli dom....bwen la kibabe
Daah nimemaliza juzi kati tu hapo, levavi oculos
Mwakosyaaaaaa..Nyaliiiiiiiiiiii...Viweseeeee
Unaweza ukawa mtoto wa madame alikuwa anatufundisha English, maana mtoto wake alikuwa anapiga kikapu balaa..
Haha dah mi sijasoma iyunga nimesoma mby sec ila nilikuwa nakaa iyunga na nilikuwa nacheza mkapu kwenye court ya iyunga mwakasege ndio kocha kisusange mzee wa kitaa!
dah no xhidaaaaah msosi wa scrambleeeee