Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Wacha nasisi Tujuane humu

Aisee nilimaliza pale miaka hiyooo ilikua noma sana one za kumwaga ,manunda wengi msuli kwa sana, menyu mesini utata, kirodi kwa babu miwa hahahahahh mama typist na viwese hahahh disco na watoto wa loleza a.k.a lozy.

maubabe ya mwl mwakasege, Mwakalindile pia super headmaster kisusange mzee wa cruiser mkonge a.k.a mweshimiwa plus ndudi mtanzania hahahah iyungazzzzzzz
 
Haha dah mi sijasoma iyunga nimesoma mby sec ila nilikuwa nakaa iyunga na nilikuwa nacheza mkapu kwenye court ya iyunga mwakasege ndio kocha kisusange mzee wa kitaa!
 
Bweni la Kawawa,Amri Abeid,Sokoine,Shaban Robert,Lumumba,Mugabe,Mkapa,Luthuuuuli........
Hahahahhh......Wapi Talebani Chamber,Wateule Chambeeer.
 
Wacha nasisi Tujuane humu
Aisee nilimaliza pale miaka hiyooo ilikua noma sana one za kumwaga ,manunda wengi msuli kwa sana, menyu mesini utata,kirodi kwa babu miwa hahahahahh mama typist na viwese hahahh disco na watoto wa loleza a.k.a lozy maubabe ya mwl mwakasege,Mwakalindile pia super headmaster kisusange mzee wa cruiser mkonge a.k.a mweshimiwa plus ndudi mtanzania hahahah iyungazzzzzzz

nouuuuma umenikumbusha enzi hizooo, nilikuwa hapo enzi za Mwaipopo, Kisusange amenikuta nikiwa 4m3, nafikiri umesoma iyunga ikiwa ya walokole Huyo ndo aliibadilisha iyunga. zile one za point 7 hatuzioni Tena.
 
nimemaliza iyunga mwaka 2005, kumbusha sana enzi za mwakalindile discipline master alikuwa anashusha stick za uhakika na sura yake mbuzi....

nai miss sana iyunga...
 
Haha dah mi sijasoma iyunga nimesoma mby sec ila nilikuwa nakaa iyunga na nilikuwa nacheza mkapu kwenye court ya iyunga mwakasege ndio kocha kisusange mzee wa kitaa!

Mwakasege mibangi yule ticha alikuwa anaogopwa Sana'a na anapendwa Sana'a sometime anashuka dirty talk hapo mbele ya madenti hahahah alikua big fan wa aseno
 
Back
Top Bottom