Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
- Thread starter
-
- #41
Mimi nilimaliza mwaka 1999.Nakumbuka mwalimu wa hesabu Kiloloma Mtovakali,Mwakasyana na Naricho.Mwalimu Fuvu,Ndudi nk.SecondMaster Mwl Dinya
Discpline master sasa hivi ni ambonisye,ndudi a.k.a mtanzania yupo kama kawa, mwalimu mkuu ni mwantimwa
wap kibwengu wapi madeha wap capable wap shija mobb wap civil mobb wap wazee wa mjengo wap mtoto pori wap man vuzy wap pfunky majani wazeee wa madisc na pola wap malabeja dav mwakitalu je wap baraka mwaisaka 2005 iyoooooooo iyunga raaaaha tupu nilshkwa na ndudi naiba. yali mesini weeeee
Nilimaliza pale mwaka 1999, enzi hizo nyoka ukitinga bwenini kwanza ubahudumia juaji mwezi mzima, ndani ya shabani robert ndani ya Dressing kama nyoka wana msala
kentobomaaanimemaliza iyunga mwaka 2005, kumbusha sana enzi za mwakalindile discipline master alikuwa anashusha stick za uhakika na sura yake mbuzi....
nai miss sana iyunga...
namkumbuka mwalimu fulani alikuwa anaitwa mwakasegeWacha nasisi Tujuane humu
Aisee nilimaliza pale miaka hiyooo ilikua noma sana one za kumwaga ,manunda wengi msuli kwa sana, menyu mesini utata,kirodi kwa babu miwa hahahahahh mama typist na viwese hahahh disco na watoto wa loleza a.k.a lozy maubabe ya mwl mwakasege,Mwakalindile pia super headmaster kisusange mzee wa cruiser mkonge a.k.a mweshimiwa plus ndudi mtanzania hahahah iyungazzzzzzz
namkumbuka mwalimu fulani alikuwa anaitwa mwakasege
kentobomaaa
Bweni la Kawawa,Amri Abeid,Sokoine,Shaban Robert,Lumumba,Mugabe,Mkapa,Luthuuuuli........
Hahahahhh......Wapi Talebani Chamber,Wateule Chambeeer.
Ha ha ha ha
Luthuli dom....bwen la kibabe
mimi nilikuwa garden na ticha wetu mnoko mwl. mshana....alfajiri tushapigilia uniform zetu na masweta haoo tunawahi kwenda kumwagilia vitunguu, carrot, makabichi n.k
Garden.ahhahahahah.nyie wa garden c mlikuwa mnafaidi msoc wa bila scrumble.mnachukua msoc wenu mnaend kula zile chamber za Canteen.
Hahahh illa Mshana alikuwa Mainder sana.
Na Lyaki
Hilo bweni kipindi kile nipo advance liliunguaga nowdays sijui kama linatumikadah umenikumbusha mbali....2005 wakati Bweni la Mkapa limezinduliwa tulikuwa na Reception chamber, Masela Mavi chamber, Choko chamber na X chamber....
mng'ong'o aka maximo,daah uyu mkuu sitamsahau alikuwa kila asubuhi lazima aje shaaban robert kunicheki kama nimeamka