Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

Mimi nilimaliza mwaka 1999.Nakumbuka mwalimu wa hesabu Kiloloma Mtovakali,Mwakasyana na Naricho.Mwalimu Fuvu,Ndudi nk.SecondMaster Mwl Dinya

Nalicho na ndudi nilikuta pale ndudi a.k.a mtanzania alikuja kuwa displine master mtata sasa baada ya mwakalindile kupata u headmaster wa shule ya kata
 
wap kibwengu wapi madeha wap capable wap shija mobb wap civil mobb wap wazee wa mjengo wap mtoto pori wap man vuzy wap pfunky majani wazeee wa madisc na pola wap malabeja dav mwakitalu je wap baraka mwaisaka 2005 iyoooooooo iyunga raaaaha tupu nilshkwa na ndudi naiba. yali mesini weeeee

Hahahahaa ndudi alikua mnoko balaa
 
Wapi mtanzania, Arooooo, nilikuwa ndani ya Shaban Robert enzi za akina Ras de mzinganga kayamani, siku ya nyali nyoka wote ni michuzi ty, wali ni Majuaji
 
Nilimaliza pale mwaka 1999, enzi hizo nyoka ukitinga bwenini kwanza ubahudumia juaji mwezi mzima, ndani ya shabani robert ndani ya Dressing kama nyoka wana msala
 
Wacha nasisi Tujuane humu
Aisee nilimaliza pale miaka hiyooo ilikua noma sana one za kumwaga ,manunda wengi msuli kwa sana, menyu mesini utata,kirodi kwa babu miwa hahahahahh mama typist na viwese hahahh disco na watoto wa loleza a.k.a lozy maubabe ya mwl mwakasege,Mwakalindile pia super headmaster kisusange mzee wa cruiser mkonge a.k.a mweshimiwa plus ndudi mtanzania hahahah iyungazzzzzzz
namkumbuka mwalimu fulani alikuwa anaitwa mwakasege
 
Nani headmaster siku hizi? Mwakasege, Mshana, Mnozya bado wapo? Majina kibao yamenitoka ajabu
 
Bweni la Kawawa,Amri Abeid,Sokoine,Shaban Robert,Lumumba,Mugabe,Mkapa,Luthuuuuli........
Hahahahhh......Wapi Talebani Chamber,Wateule Chambeeer.

dah umenikumbusha mbali....2005 wakati Bweni la Mkapa limezinduliwa tulikuwa na Reception chamber, Masela Mavi chamber, Choko chamber na X chamber....
 
mimi nilikuwa garden na ticha wetu mnoko mwl. mshana....alfajiri tushapigilia uniform zetu na masweta haoo tunawahi kwenda kumwagilia vitunguu, carrot, makabichi n.k

Garden.ahhahahahah.nyie wa garden c mlikuwa mnafaidi msoc wa bila scrumble.mnachukua msoc wenu mnaend kula zile chamber za Canteen.
Hahahh illa Mshana alikuwa Mainder sana.
Na Lyaki
 
Garden.ahhahahahah.nyie wa garden c mlikuwa mnafaidi msoc wa bila scrumble.mnachukua msoc wenu mnaend kula zile chamber za Canteen.
Hahahh illa Mshana alikuwa Mainder sana.
Na Lyaki

Wazee wa mboga wao hawana HABARI na maharage ya mesini
 
mng'ong'o aka maximo,daah uyu mkuu sitamsahau alikuwa kila asubuhi lazima aje shaaban robert kunicheki kama nimeamka
 
dah umenikumbusha mbali....2005 wakati Bweni la Mkapa limezinduliwa tulikuwa na Reception chamber, Masela Mavi chamber, Choko chamber na X chamber....
Hilo bweni kipindi kile nipo advance liliunguaga nowdays sijui kama linatumika
 
mng'ong'o aka maximo,daah uyu mkuu sitamsahau alikuwa kila asubuhi lazima aje shaaban robert kunicheki kama nimeamka

Aaaahahahhahahah maximo alikua mbabe balaa na ule mwili wake na tumbo hiloo
 
Mnamkumbuka paster wa kantini mzee wa kuuza madini
 
Back
Top Bottom