Nakumbuka tuliifunga Tambaza that day ndo balaa likaanza. Kwa wasiofahamu ni kwamba Vurugu ile ndo ilipelekea Tambaza kubadilisha mchepuo kutoka Olevel to Alevel. Nilikuwepo ktk wanafunzi waliokwenda Tambaza kuwatambua vinara wa vurugu.
namkumbuka sana marehemu mbonabucha yule mlemavu wa mguu alikua mtaalam sana!wapi kaboka mchizi jina lake halisi limenitoka kidogo yule ticha wa civics
zile stiki zilikua ni noma zinatoka maporini kule yani siwezi kumsahau wajadi nilikula stiki siku hiyo aliyonikamata getini siku tatu nilikua siwezi kukaa kwenye kitu kigumu!nikamwambia mshua mi ile shule tena basi !washua wetu wakitambo kile siunawaelewa tena akaniambia utasoma hapo hapo vaa uende shule,ila ndiyamukama alikua hatari sana nasikia wale waliitangulia kumaliza walimvunja mguu lakini bado balaa lake tuliliona!1998 na kuendelea
Ile ya Tambaza nilikuwa njuka. tuliwahi kumalizana nayo mapema sana. Na Tambaza kipindi kile walijenga kuiheshimu JITE kwani walijua kitakachowatokea...Mkuu hivi beef kati ya Tambaza na Jite au Azania na Jite Ipi ilikuwa hatari zaidi?
Salama
Ndo huyo huyo ila alisha rest in peace
Nilisoma na mtoto wa Lowassa.
Alikuwa anaitwa Emanuel Lowasa.
HGE ya mwaka 2001.
Tulipiga nae kwata mpaka mwisho.
jamaa sijui yuko wapi nowadays.
Rite namkumbuka sana.Mmeongea yooote mmesahau mr rite na pale loliondo eti cj iz kuna uwanja wa mpira tulivyoenda jwenye alumni tuliwafunga nadenti waliopo muchezo yote
Rite namkumbuka sana.
Komando kutoka Zenji. Jamaa alikuwa mkimya, mpole ila mtata sana akikuta denti ananyanyaswa.
Aliwahi kumpigisha magoti Bwenge mbele ya macho yangu.
Alikuwa akitembea amekakamaa all the way
Hahahaha kweli aisee. Mwanae alikuwa na wajihi kama baba yake. Cha kushangaza walikuwa wanaishi wawili tu kwenye ile nyumba pale nyuma ya ofisi ya Massawe.Paw mtoto wake nae alikuwa amekakamaa kama baba yake natulikuwa nae class
Sijui yule mwalimu yuko wapi kwa sasa namtoto wake
Hivi Mrimi asharest in peace dah namkumbuka sana aise maana alikuwa anauza sana vitabu vyake
Hahahaha hapana bwana.Mkuu Paw inaonekana wewe ulikuwa mtata sana ....
Niliangalia matokeo ya mwaka jana....mazingira ya wakati wetu library ilijengwa wakati tuko pale namazingira hayakuwa mazuri kimajengo wala kwa nje ila matokeo yalikuwa mazuri sana ila kwa sasa kila kitu kipo matokeo ya Jiteute ni balaa