kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
![]()
Hapo sasa !!!
mkuu hawa ni form six wa mwaka gani?.nimeipenda sana hii picha.naona swala la usafi si jambo la kuhoji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Hapo sasa !!!
mkuu hawa ni form six wa mwaka gani?.nimeipenda sana hii picha.naona swala la usafi si jambo la kuhoji.
![]()
smart area
hapo ni mwendo wa kukimbia kwa kwenda mbele
Jitegemeee Secondary School I love you
Wajadi, Mama Lyimo, Mwalimu Mnzava wa Biology. Bwenge, Ndyamukama na Head master wakati huo akiwa Massawe bana
Smart Area na kwata la pale uwanjani linafanyika mwezi mzima kwa form one na form five na wahamiaji wote wa ile shule
Ila Jitegemee ilikuwa miaka ya Massawe na akina Bwenge bana
Nyuma ya ofisi kuna sehem ya chips mayai na chips maini kwa watoto wa kishua na wali maharage kwenye mabada ya bati kwa watoto wauswahilini sijui kama bado yale mabanda ya mabati yapo siku hizi
MWANAKA unakumbuka jamaa alianzia pale pale kama mwanafunzi na alikuwa prefect wakati huo akiwana akina Mbise walikuwa wanoko mbaya aise. Wakikikuta town hujachomekea au kuvaa neck tie unarudishwa mpaka shule na walikuwa wanapenda sana kuchukua sox na sweta za wanafunzi ambazo sio za rangi ya shule na vitambaa vile vya bendera za marekani au headphone au chochote ambacho hakiruhusiwi. Wanakaa navyo ikifikia December wanagawana bana![]()
Mkisi wakati huo akiwa mwalimu wetu wa GS yaani we acha tu..!!(jamaa alikuwa na vichekesho sana licha ya kuwa serious wakati fulani)
Kipindi hicho ndo katokea UDSM kuchukua master yake
hapo kwenye red upo sahihi kabisa aise..!!
Daaaaah.....Jite imetujenga sana, sihitaji kusema mengi Vip Ndyamukama bado yuko palepale getini????, RIP Mlimi Mnandi, Vip Mwalimu babu kipofu, Chacha, Masemele bado wapo Jite?
JITEGEMEE ndio nini? ,ipo nchi gani?
lakini mlikuwa mmefeli form form four undo maana mkaenda jitegemee sec
kwani zamani mlikuwa mnafanya vizuri?
Mimi ni alumni wa taboraboys na mzumbe sec
Mimi ni alumni wa taboraboys na mzumbe sec
Mimi ni alumni wa taboraboys na mzumbe sec
Kumbe paw kasomea jitegemee maana yake alifeli form4 ndio akaenda jitegemee yaani blog kubwa kama jamiiforums inaongozwa na watu waliofeli sekondari ni aibu kubwa kwa blog kama hii kuongozwa na vilaza
Mkuu mpigamsuli Pengine uliishia Mzumbe ukawa umerudi kwenu lakini kama angalau ulifika hata Chalinze lazima utakuwa unaifahamu Jitegemee
kadoda11 achana na jamaa bana atakukera tuu na wala hajui kwanini tulienda Jiteute
Dah kumbe!
Basi mwenzio nilidanganywa na NECTA kuwa nimefaulu hata cheti walikipamba kwa flying colours.
Mlienda jitegemee kwa sababu mlifeli over