Salama salimini
Senior Member
- Dec 2, 2013
- 191
- 38
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria za jamiiforums lazma zirekebishwe kuzuia mamods kama "paw" kujiingiza kwenye mijadala inayoendelea humu jamvini ,ninavyojua kazi za mods nikuangalia nidhamu ya mienendo ya members ndani ya jamiiforums na sio kujihusisha na mijadala ya memberz humu jamvini
Mlienda jitegemee kwa sababu mlifeli over
Sheria za jamiiforums lazma zirekebishwe kuzuia mamods kama "paw" kujiingiza kwenye mijadala inayoendelea humu jamvini ,ninavyojua kazi za mods nikuangalia nidhamu ya mienendo ya members ndani ya jamiiforums na sio kujihusisha na mijadala ya memberz humu jamvini
Sawa kijana wa special school hongera sana sisi tulifail ndo maana tukaenda Jiteute
Mlienda jitegemee kwa sababu mlifeli over
Wewe uliye faulu umevumbua nini? Acha uzwa zwa wewe...tena unaonekana mbombongafu a.k.a ndezi kweli kweli na tabora boys yako.
Some of us were selected to join your so called special school but we declined! Instead we went jiteute.
Jifunze heshima wewe.
mkuu huyu jamaa bila shaka ana ajenda yake anayoijua yeye na nadhani amedhamiria kabisa kuharibu huu mjadala cha msingi tumpuuze na tusijibishane naye tuendelee na mjadala wetu
![]()
Mkisi wakati huo akiwa mwalimu wetu wa GS yaani we acha tu..!!(jamaa alikuwa na vichekesho sana licha ya kuwa serious wakati fulani)
Kipindi hicho ndo katokea UDSM kuchukua master yake
Kwa waliopita hostel, bweni la Mwakyambiki lilikuwa limepakana na nyumba ya mzee mmoja alikuwa fundi mule kambini, alikuwa na mtoto wake anaitwa Herieth...watu wamepona sana kwa huyu demu...yaani kuanzia o'level hadi high school...na kama alikuwa ana ngoma huyu demu basi kaondoa wengi sana
Duu Mimi namkumbuka mwalimu sikaponda,Ntibwela,Bashaka,Mpeta,Mama kilala,Midodi etc
tulishaingizwa kwny hii ofisi, huku Mkisi huku tall, kosa ni kuchelewa Assemble. Pigwa fimbo za hatare wee. kuna kipindi Jite ni chungu.
Namkumbuka sana huyu demu watu wamejiponea sana nakumbuka mama yake alikuwa anakaanga karanga mara, maandazi mara nyingine alikuwa anafunga maji pia halafu kuna mda wanafunzi walikuwa wanajaa sana pale wakiangalia Tamthiliya baada ya kutoka prepo ka Tv. kalikuwa kanakaa sebuleni pale sebureni karibia na mlangoni halafu njemba zinakusanyika nje
School JAzz BAnd
School Steel BAnd
Ziliwika sana enzi za Massawe