Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliangalia matokeo ya mwaka jana
S0496 JITEGEMEE SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 1 DIV-II = 2 DIV-III = 26 DIV-IV = 210 FLD = 443
Nilitamani kulia. Nilikutana wakati huo na mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu ambapo aliniambia kwamba sasa ili kuvuka darasa inabidi mwanafunzi asiwe below 20 wastani wa alama zake.
Mnakumbuka below 50?

lakini mlikuwa mmefeli form form four undo maana mkaenda jitegemee sec
OMG!kwa matokeo hayo ya mwaka jana naona aibu kuji-introduce kwamba mimi ni alumni wa jitegemee secondary.nazama uvunguni mwa meza aisee.
haya wewe ulichaguliwa darasa la saba ndio maana ukaenda kibasila secondary.kwa sasa hivi standards za kimaisha ndio zina determine mupasi kwetu na kufeli kwetu.huku mtaani tunawakimbiza hata wale waliosoma shule za kuchaguliwa-shule za serikali.
lakini mlikuwa mmefeli form form four undo maana mkaenda jitegemee sec
Nimesoma muda huu kwenye FB kwamba yule mwalimu mtaalam wa adhabu tatanishi (Mr. Ndeha) alishafariki dunia.
Mwenye kumfahamu huyu mwalimu, unamkumbukaje?
kwani zamani mlikuwa mnafanya vizuri?
fanya utafiti kuanzia 2002 to backward
Kumbe paw kasomea jitegemee maana yake alifeli form4 ndio akaenda jitegemee yaani blog kubwa kama jamiiforums inaongozwa na watu waliofeli sekondari ni aibu kubwa kwa blog kama hii kuongozwa na vilaza
Dah kumbe!Kumbe paw kasomea jitegemee maana yake alifeli form4 ndio akaenda jitegemee yaani blog kubwa kama jamiiforums inaongozwa na watu waliofeli sekondari ni aibu kubwa kwa blog kama hii kuongozwa na vilaza