secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ulianza kutema ukiwa kidato cha ngapi mkuu?Shule ya kata sio sababu, mi nimesoma kayumba na natema yai kama nimezaliwa Birmingham palece.
Hahaha 😂🤣. Acha uwongo mkuu, eti what is TISINI.Kuna Familia ya rafiki yangu nilitembelea wakati nipo secondary school, ana mdogo wake alikua kama 8yrs,dogo akanipa mtihani wake niangalie, nikamwambia " Wow, you're so smart you scored tisini in math great job! Keep it up" dogo akauliza what is TISINI,nikamjibu kwa kiswahili analia, kiswahili hajui hata kidogo..wahaya hapana..
😂😂😂😂Watakimbilia kwa grok
Hatari mzee hiyo familia wanaongea kingereza na kihaya tu home..shule kingereza tupu..mtoto atajua kiswahili??town hapahapa kuna watu nawajua hawajui kiswahili na wamezaliwa na kukua hapahapa..Hahaha 😂🤣. Acha uwongo mkuu, eti what is TISINI.
Nimesoma single schools Kuna nnSubiri wanakuja kutoa shuhuda zao, mkifika shule za Taifa (bweni na jinsia 1) mnistue nna jambo hapo.
I never went through that, can’t relate ila pole mupenziiiiiiNilipokuwa form One baadhi ya maneno nilikuwa naya-assume (najitengenezea) maana zake katika fikra zangu kwa sababu kiingereza lilikuwa hakipandi. Yafuatayo ni baadhi ya maneno ya kiingereza na maana nilizokuwa nilizoziunda kwa Kiswahili.
Let - Lete.
Pudenda - mpira unadunda.
Cook - kuku.
Sex - sita.
Common - pombe aina ya komon.
Come late - njoo ulete.
Lazy -mwizi.
Nitaongeza maneno mengine kadri nitakavyokumbuka. Kama umeshapitia hali kama yangu tuambie kama hujapitia kama Monetary doctor na Mshangazi dot com hongera.
Yote kwa yote kiingereza siyo kipimo cha akili.
Si tutoe shuhuda zetu ktk kupambana na ngeli? Leo si imekua nafas ya shule za kata?Nimesoma single schools Kuna nn
Halafu mi hadi leo sikijui na hata nikijaribu kile cha kuombea maji bado mdomo unabwabwaja utafikiri sina ulimi.Hatari mzee hiyo familia wanaongea kingereza na kihaya tu home..shule kingereza tupu..mtoto atajua kiswahili??town hapahapa kuna watu nawajua hawajui kiswahili na wamezaliwa na kukua hapahapa..
Nyerere kazingua sana aise.Kiingereza kimenifanya nikakosa fursa nying sana
Kudadek mwalimu baba wa taifa hili kutuletea kiswaz
Naona umeamua kuiomba maiti damu😁😁Halafu mi hadi leo sikijui na hata nikijaribu kile cha kuombea maji bado mdomo unabwabwaja utafikiri sina ulimi.
Binti Sayunii pliz nifundishe kimombo.
Handsome wewe, mjuzi wa Lugha weweShule ya kata sio sababu, mi nimesoma kayumba na natema yai kama nimezaliwa Birmingham palace