Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
Hatari sana 😅si ndio😁
mambo Lamama,
Powa za kwako Lababa?
Hatari sana 😅si ndio😁
mambo Lamama,
HahahaNikilewa huwa napendelea kilingala lakini kiingereza hapana.
Sijui nikoje aise 😁
Mimi mwalimu wa Chat gptNakuamini ujue
Mdogo wangu wa kike aliniuliza jina la punda Kwa kingereza Kwa kuwa simjui nikamwambia punda anaitwa Puma.Hatari sana aisee😁😁😁
Mbona huwa unafunga nyuzi kwa kiinglish.Mimi mwalimu wa Chat gpt
Niko fit sana, weekend inasemaje zone hio?Hatari sana 😅
Powa za kwako Lababa?
Mbona huwa unafunga nyuzi kwa kiinglish.Mimi mwalimu wa Chat gpt
Ni mara moja tu ndugu yangu😁😁Mbona huwa unafunga nyuzi kwa kiinglish.
Siku nilipogunda kuwa mwanfunzi aliyekuwa ananifuata kidato anakiongea kiingereza kizuri nilijifungia chumbani nikawa nalia kama mfiwa.Kuongea kiingereza ni kipaji wengine hatuna!
Hahaha 😂Ni mara moja tu ndugu yangu😁😁
ndugu yako anaendeleaje?Ni mara moja tu ndugu yangu😁😁
Hahaha 😂🤣, hiki kitu kimeshanishinda.Mimi bwana nina siku na siku za kutema yai kuna siku nikiamka nikiwa nimetuliza akili hasa kama mshahara umeingia aisee utanikimbia ukigusa kwenye ngeli natema yai mpaka ofisini uwa wananigwaya .
Ila sasa mshahara uwe bado kama sasa hivi alafu ulete maongezi yako ya ngeli naongea vitu hata mimi sivielewi ila najua ni kuchapia ni hapo utasiki nachanganya kihaya na kizaramo katika lugha ya watu
Anaendelea vizuri lakini bado ana mawenge mawenge wiki hii kuna dawa anazimalizia ndiyo tunasubiri tuone matokeo.ndugu yako anaendeleaje?
Nilitegemea utamjibu normadix kuwa hakuna kipaji 😁😁😁Siku nilipogunda kuwa mwanfunzi aliyekuwa ananifuata kidato anakiongea kiingereza kizuri nilijifungia chumbani nikawa nalia kama mfiwa.
I second you on that. Tusisingizie kila kitu shule ya kata. Mimi nyumbani Mzee wetu alikuwa na jitabu kubwa hilo la english ndilo lilinisaidia kukijua kinge. More than 30yrs later natema yai kama vile ni my first languageShule ya kata sio sababu, mi nimesoma kayumba na natema yai kama nimezaliwa Birmingham palace
Unajiona sana weweI second you on that. Tusisingizie kila kitu shule ya kata. Mimi nyumbani Mzee wetu alikuwa na jitabu kubwa hilo la english ndilo lilinisaidia kukijua kinge. More than 30yrs later natema yai kama vile ni my first language