Waliosoma shule za kata na kuumbuliwa na kiingereza tukutane hapa

Waliosoma shule za kata na kuumbuliwa na kiingereza tukutane hapa

Kuna hizi nilikutana nazo kwenye safari ya ELIMU.

Mdau mmoja LINEAR PROGRAMMING jamaa akanyoosha mkono akisema Linear programming ni MIPANGO ILIYO NYOOKA. 😅
 
Kuna hizi nilikutana nazo kwenye safari ya ELIMU.

Mdau mmoja LINEAR PROGRAMMING jamaa akanyoosha mkono akisema Linear programming ni MIPANGO ILIYO NYOOKA. 😅
Nilipokuwa form One mwalimu (darasani) aliniambia march forward nikawa naangalia mbele nikidhani mwalimu alitaka niangalie mbele yaani macho yote mbele.

KIlichofuata ni kichapo, eti aliniambia nina kiburi na kwamba nimemdharau

CC Monetary doctor Mshangazi dot com
 
Nakumbuka gudila cheusi mangala tulikuwa na project bhn Ila mnaandika kwa mikono, jamaa mmoja akachora mwandiko wake unajua miandiko ya kiume ile yenyewe, sasa gudila kukuta ile karatasi nikate, nikate nasema nikate, ananiuliza wewe monetary nani kaandika hapa ?

Afu sijui alinijulia wapi, ety kapita sehemu wee monetary kaniitie yuda iskariote
 
Nipo brother Monetary doctor . Nashukuru sana kunialika hapa. Vipi Hali Yako ?
.
.
.
High school enzi hiyo tunapiga story na Mwl wa bioz. Kwenye story zake akaongelea umuhimu wa vyakula kundi la 'wanga'. Sikuamini jamaa mmoja alisimama na kuuliza 'wanga' ndio Nini na vyakula vya 'wanga' ndio vipi.

Ilikua ajabu kidogo kwa level Ile ukilinganisha Mdau aliuliza swali kwa Swahili language.
Ni buheri wa afya kaka, hawajambo hapo home ?

Aseeh hakuwahi sikia neno wanga kabisa ? au alidhani ni kuloga!
 
Nakumbuka gudila cheusi mangala tulikuwa na project bhn Ila mnaandika kwa mikono, jamaa mmoja akachora mwandiko wake unajua miandiko ya kiume ile yenyewe, sasa gudila kukuta ile karatasi nikate, nikate nasema nikate, ananiuliza wewe monetary nani kaandika hapa ?

Afu sijui alinijulia wapi, ety kapita sehemu wee monetary kaniitie yuda iskariote
Hahaha yule Cheusi Mangala ni malaya tu.
 
Kingeleza kina mtu na mtu kikikukata bhana unaloo mm siku moja nilikua naenda kenya nakaenda Kenyans migration kuchoma sindano ya yellow fever, tukaanza stori na daktari hakuamini nilipo muambia natoka tz akasema alijua natoka nilikua US / canada

Aise ilikua accent ya kinyamwezi sana, fluent lakin nimesoma Tz shule ya kata.
Mimi ni kinywa Konyagi Huwa kinakuja chenyewe kwa mtiririko kama Trump!
 
Back
Top Bottom