cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
๐๐๐๐๐Ukiachana na mambo kama "yoo madafaka", "wassup nigga", "wats popin up", "fakofu" nk. Hamna kiingereza cha maana sana najua.
๐๐๐๐๐Ukiachana na mambo kama "yoo madafaka", "wassup nigga", "wats popin up", "fakofu" nk. Hamna kiingereza cha maana sana najua.
Yeye mwenyewe anaamini kuwa hakuna kipaji lakini alikujua PM akesema bro nimekubali kuwa hakuna kipaji lakini nikikubali jukwaani hadhi yangu itashuka.Nilitegemea utamjibu normadix kuwa hakuna kipaji ๐๐๐
NajitazamaUnajiona sana wewe
Mimi huwa nawatishia kwa mstari mmoja nilioukariri eti "everything is going alright and nothing can stop me". Cha kushangaza watu wananiogopa.Ukiachana na mambo kama "yoo madafaka", "wassup nigga", "wats popin up", "fakofu" nk. Hamna kiingereza cha maana sana najua.
Unajichungulia.Najitazama
Sawa bhana "I mean no malice to nobody"Yeye mwenyewe anaamini kuwa hakuna kipaji lakini alikujua PM akesema bro nimekubali kuwa hakuna kipaji lakini nikikubali jukwaani hadhi yangu itashuka.
Wengi wamenijia PM na kukiri kutokuwepo kwa kipaji lakini haku jukwaani wanakaza tu ili wasionekane wameshindwa nami nimewasitiri.
Hapa umenipoteza hadi huruma.mean no malice to nobody
Hizo zinaitwa filler words,ndo njia ya haraka ya kukutambulisha kwamba hujui kiingereza au hujajipanga kwenye mada husikaKiingereza ni chepesi kama unakiwazia kichwani,anza kukiongea sasa ndo utajua hujui,the the the zinakuwa nyingi
Umenikumbusha essay niliyoyaandika nikiwa form two yaani kwenye page mbili maneno kama the, can, because, due to yalikuwa asilimia 90 ya essay yote๐๐Kiingereza ni chepesi kama unakiwazia kichwani,anza kukiongea sasa ndo utajua hujui,the the the zinakuwa nyingi
but but nyingi hadi zinatosha kuezekea mjengo!Kiingereza ni chepesi kama unakiwazia kichwani,anza kukiongea sasa ndo utajua hujui,the the the zinakuwa nyingi
Kuna mmoja huku ninaye wageni wakija wanaandaa google translate kujihami..!! Toto linapiga ile ngeli pasua kichwa sio hizi nyepesi..!!Kuna Familia ya rafiki yangu nilitembelea wakati nipo secondary school, ana mdogo wake alikua kama 8yrs,dogo akanipa mtihani wake niangalie, nikamwambia " Wow, you're so smart you scored tisini in math great job! Keep it up" dogo akauliza what is TISINI,nikamjibu kwa kiswahili analia, kiswahili hajui hata kidogo..wahaya hapana..
๐น๐น๐นUmenikumbusha essay niliyoyaandika nikiwa form two yaani kwenye page mbili maneno kama the, can, because, due to yalikuwa asilimia 90 ya essay yote๐๐
Hahaha ๐but but nyingi hadi zinatosha kuezekea mjengo!
naomba uteme na cha washingto dcShule ya kata sio sababu, mi nimesoma kayumba na natema yai kama nimezaliwa Birmingham palace
Kuna huyu nae fixed, ana fikisidi ๐ yote tisa tumemaliza,Nimecheka, nimekumbuka ktk Geog, Penumbra, yeye akasema "ripemberu" class nzima hoi kwa kucheka.
๐๐๐๐๐, likawa jina lake la utani pale shule.
Las but no lisAcha hivyo mkuu ๐
I want to marry Sidi badala ya he want to marry Sidi.Las but no lis
Watoto wa kisasa hao,ila sio vizuri kutiana aibu mnilipe nije na soma kwa hatua nimfundishe kiswahili,kujua lugha ya taifa muhimuKuna mmoja huku ninaye wageni wakija wanaandaa google translate kujihami..!! Toto linapiga ile ngeli pasua kichwa sio hizi nyepesi..!!