kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Hapo kwenye kuku umenivunja mbavu😁😁😁
mimi nilijua tabia za kihaya zinaanzia ukubwani kumbe... MhayaKuna Familia ya rafiki yangu nilitembelea wakati nipo secondary school, ana mdogo wake alikua kama 8yrs,dogo akanipa mtihani wake niangalie, nikamwambia " Wow, you're so smart you scored tisini in math great job! Keep it up" dogo akauliza what is TISINI,nikamjibu kwa kiswahili analia, kiswahili hajui hata kidogo..wahaya hapana..
Rahisi tukiamua,kujifunza tu..tafuta mtu ambae ana kingereza kizuri,ambae utakua unazungumza nae au kuchat mara kwa mara,..Muige anavyotengeneza sentence,anavyotamka maneno..kama kuna mtu hapo juu kakwambia I NEVER WENT THROUGH THAT SO I CANT RELATE,si umeona sentence imenyooka bila kosa la kisarufi? Mgande awe anakuchorea za kingereza,Halafu mi hadi leo sikijui na hata nikijaribu kile cha kuombea maji bado mdomo unabwabwaja utafikiri sina ulimi.
Binti Sayunii pliz nifundishe kimombo.
Unatumia pombe?Halafu mi hadi leo sikijui na hata nikijaribu kile cha kuombea maji bado mdomo unabwabwaja utafikiri sina ulimi.
Binti Sayunii pliz nifundishe kimombo.
Nikikumbuka una kariri dictionary 😂😂 Nina rafiki yangu instead y kusema kolera anasema choleraa kama neno lilivyoSi tutoe shuhuda zetu ktk kupambana na ngeli? Leo si imekua nafas ya shule za kata?
Nimecheka, nimekumbuka ktk Geog, Penumbra, yeye akasema "ripemberu" class nzima hoi kwa kucheka.Nikikumbuka una kariri dictionary 😂😂 Nina rafiki yangu instead y kusema kolera anasema choleraa kama neno lilivyo
Mwalimu mkuu alikuwa anatoa mawaidha pale paredi kuhusu wanafunzi waliojamiiana katika stoo ya shule akaaendelea na mwaidha (kwa kiingereza) alipofika mishoni akasema "Is there anyone who committed sex here at school apart from these two partners" nilinyoosha mkono kwa kudhani kuwa mwalimu alisema "leo aliyewahi saa kumi na mbili asubuhI ni nani shuleni kati yenu nyote"I never went through that, can’t relate ila pole mupenziiiiii
Hapo kwenye Sex - Sita, hebu nielezee ilikuwaje kuwaje ukaunda hivyo.
Nakuamini ujueNaona umeamua kuiomba maiti damu😁😁
Haongera sana mkuuKingeleza kina mtu na mtu kikikukata bhana unaloo mm siku moja nilikua naenda kenya nakaenda Kenyans migration kuchoma sindano ya yellow fever, tukaanza stori na daktari hakuamini nilipo muambia natoka tz akasema alijua natoka nilikua US / canada
Aise ilikua accent ya kinyamwezi sana, fluent lakin nimesoma Tz shule ya kata.
Tumetoka mbali japo tunakoenda ni mbali zaidi😅Hapo kwenye kuku umenivunja mbavu😁😁😁
Sana mkuu.Unatumia pombe?
Acha hivyo mkuu 😎Nikikumbuka una kariri dictionary 😂😂 Nina rafiki yangu instead y kusema kolera anasema choleraa kama neno lilivyo
Kwamba kile anaongea akilewa😂😂😂Unatumia pombe?
ah kwahio ata ukiwa umelewa huwezi kuongea lugha adimu ya kingereza?Sana mkuu.
Nikilewa huwa napendelea kilingala lakini kiingereza hapana.ah kwahio ata ukiwa umelewa huweza kuongea lugha adimu ya kingereza?
si ndio😁Kwamba kile anaongea akilewa😂😂
Dah! Hii noma sana😁😁😁Dah, form one jamaa alinituma nikamwite Anas kwenye darasa la form three.. jamaa waliangua kicheko hadi walimu wakatoka ofisini
Hatari sana aisee😁😁😁Tumetoka mbali japo tunakoenda ni mbali zaidi😅