Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana.

Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka hatarini sana.

Wanamtandao sifa yao kuu ni kutoongea mipango yao na mambo yao waziwazi. Huwezi kusikia Kikwete akisema niliongea na fulani huku akimtaja jina kabisa. Huwezi kumsikia Rostam akisema nilimpigia simu fulani na tukaongea. Mipango yao ni sirini wakitoka kwenye vyombo vya habari ni kufurahisha genge tu.

Sukuma gang hamjifunzi kutokana na makosa na kamwe hamtajifunza. Makosa aliyokuwa anayafanya Founder wenu Jiwe ya kuropoka hovyo nanyi mnayafanya hayo hayo.

Kwenye vita yenu ya Madaraka mlisahau jambo moja. Mtandao hawapendi kuminya. Ila linapokuja suala la kupambania ugali wao hawachekagi na wowote. Kuua ni dk moja tu na hawa aachi any trace.

Kwa hali ilivyo sasa sukuma gang yeyote hata akitoka upele tu na kwenda hospitali yeyote hatorudi akiwa hai.

Mliotajwa kwenye Press za Gwajima na Polepole jiandaeni. Andikeni wosia Na mjifunze kupanga mambo yenu kimya kimya. Mtandao wako kazini kuwamaliza.

R. I. P Tanzania

No Reforms No Election ✊️✌️
 
Huo ni mtego, acha waingie wanase! Polepole aliwaambia wasiojulikana wamuachie dada yake na pia wamrudishie simu yake.....paaah! Kesho yake wakaufyata!

Umesikia alivyowaambia maCCM kuwa lile file kubwa la wahuni lililopotea hapo makao makuu, akasema data zake anazo kichwani....
 
La Cosa Nostra,

usajili wa uhakika, exposure ya watu wake,mizizi mirefu, muda wao mrefu kwenye game, kuwa na wanachama watiifu kutoka makabila na dini zote, financial muscles, good succession plan, good mentorship system nk.

Huwezi kurun gang iliyozuka kwa bahati mbaya halafu ikaleta matokeo chanya, matokeo yake huwa ni chaos tu.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan
 
La Cosa Nostra,

usajili wa uhakika, exposure ya watu wake,mizizi mirefu, muda wao mrefu kwenye game, kuwa na wanachama watiifu kutoka makabila na dini zote, financial muscles, good succession plan, good mentorship system nk.

Huwezi kurun gang iliyozuka kwa bahati mbaya halafu ikaleta matokeo chanya, matokeo yake huwa ni chaos tu.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan
Ndo mana Wana mtandao wanawaita washamba. Exposure ni muhimu sana
 
Mkuu swala najua ukisema lengo uwe salama ila kibaya kilichopo kwetu nikwamba ukisema hakuna jamii ya wa TZ waliowakubwa kudai haki ikitokea mtu kafa na amesema awali nani anaweza changia hAli ya umauti wake
 
Nipo natengeneza documentary ya hotuba za Polepole nitaweka hapa season zote!
Anaongea sana.

Hana mtiririko

Haeleweki ana target nini?

Angekuwa na akili clip ya dk 10 unaweza zungumza mambo yote ya msingi na watu wakakuelewa.

Kwenye kuelezea hoja na ku hit point wameachwa mbali sana na kina Lissu na Heche.
 
Back
Top Bottom