Wapewe hiyo kazi na nani?Kama kuna Wazalendo wanaolitakia mema hili Taifa hiyo kazi ya kuyaangamiza haya makundi mawili wapewe Idara ya Usalama ya Jeshi la Wananchi.
Hawa wahuni na wajinga TISS wote wamegawanyika kwenye hayo makundi mawili ya Mtandao na Sukuma Gang. Wote wanawaza ugali wao tu.
Military Intelligence ya TPDFWapewe hiyo kazi na nani?
Nani atawapa kazi hao military intelligence ya TPDF kuvunja mtandao ndani ya ccm na serikali wakati Samia ni mnufaika na huo mtandao?Military Intelligence ya TPDF