Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #121
Wanapitaga mule mule. Wanajua wakifanya wananchi hamtahoji maana mabaya yao yanajulikanaNdugai karma hiyo. Ndo inamtesa
Wanapitaga mule mule. Wanajua wakifanya wananchi hamtahoji maana mabaya yao yanajulikanaNdugai karma hiyo. Ndo inamtesa
Niliona ndege Yao ikiungua angani....Ni kweli wana mtandao ni hatari sana kama wanaweza kuua rais aliyeko madarakani sembuse hawa akina job? Mzee Warioba, Butiku na wengine wajiandae na rip tu. Hawa jamaa ni hatari ni nguvu ya Mungu tu ndiyo inaweza kuwamaliza
Wewe Binti unaonekana unapenda sana Wanaume wanaopenda kuongea sanaaaAnaongea sana.
Hana mtiririko
Haeleweki ana target nini?
Angekuwa na akili clip ya dk 10 unaweza zungumza mambo yote ya msingi na watu wakakuelewa.
Kwenye kuelezea hoja na ku hit point wameachwa mbali sana na kina Lissu na Heche.
We unaonaje?Kama unataka kusema aluzungumza na "Ndugai ".
Pole pole na Gwajima wanauwa wenzao bila kujua....Huyo kijana kuongea huku anataja waliompa taarifa au anaoongea nao si kitu kizuri. Atawaponza wenzie.
Utasikia ooh hata Ndugai alinionya, watakuua ...ooh hata Warioba aliniambia hivi..ooh kuna wazee naongea nao hadi Sasa.
Point kwa pointAnaongea sana. Mambo anayoongea yote angeweza kuyaongea kwa dk 30 tu na kufikisha ujumbe vizuri kabisa
Tutafika tu,ila tukiwa tumechoookaa mno.Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana.
Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka hatarini sana.
Wanamtandao sifa yao kuu ni kutoongea mipango yao na mambo yao waziwazi. Huwezi kusikia Kikwete akisema niliongea na fulani huku akimtaja jina kabisa. Huwezi kumsikia Rostam akisema nilimpigia simu fulani na tukaongea. Mipango yao ni sirini wakitoka kwenye vyombo vya habari ni kufurahisha genge tu.
Sukuma gang hamjifunzi kutokana na makosa na kamwe hamtajifunza. Makosa aliyokuwa anayafanya Founder wenu Jiwe ya kuropoka hovyo nanyi mnayafanya hayo hayo.
Kwenye vita yenu ya Madaraka mlisahau jambo moja. Mtandao hawapendi kuminya. Ila linapokuja suala la kupambania ugali wao hawachekagi na wowote. Kuua ni dk moja tu na hawa aachi any trace.
Kwa hali ilivyo sasa sukuma gang yeyote hata akitoka upele tu na kwenda hospitali yeyote hatorudi akiwa hai.
Mliotajwa kwenye Press za Gwajima na Polepole jiandaeni. Andikeni wosia Na mjifunze kupanga mambo yenu kimya kimya. Mtandao wako kazini kuwamaliza.
R. I. P Tanzania
No Reforms No Election ✊️✌️
SaanaTutafika tu,ila tukiwa tumechoookaa mno.
Na wao watakuja kufikiwa tuKisazi cha magu kinapumzika Pole pole
Ila newton alikua mnoma sana, ile ni maisha siyo sayansi tu.Sawa sawa, nao basi wajitahidi sie watazama movie/hadhira tuburudike. Kuna kale kamsemo kanasema :
"For every action there is an equal and opposite reaction"
Mbona mkuu umekuwa muoga Sana?Sikutegemea ww kuandika uzi Kama huu is sio tangible:Wamejaza watu wao kote. Kuanzia hospitali za Meno hadi za Taifa.
Karissa mpwaaaNa wao watakuja kufikiwa tu
Wao na kizazi chao
Ova
Kinyume chale!Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana.