Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #101
MI wakipewa hiyo kazi. Meja Jenerali Mkeremi lazima atolewe. Yule nae ni Mtandao OG. Lazima ata serve interest za Godfather wake JKUnamjua mkuu wa MI?
MI wakipewa hiyo kazi. Meja Jenerali Mkeremi lazima atolewe. Yule nae ni Mtandao OG. Lazima ata serve interest za Godfather wake JKUnamjua mkuu wa MI?
Hongera sana kusoma The GodfatherRIP Job Ndugai, Vito Corleone, the Godfather himself ukipenda muite Mr. Born Town
Aah kumbe unamjua boss wao wa sasa nilitaka kukumbusha tu baada ya kuisoma moja ya comment zako ukisema MI wapewe kazi ya kusafisha kampuni.MI wakipewa hiyo kazi. Meja Jenerali Mkeremi lazima atolewe. Yule nae ni Mtandao OG. Lazima ata serve interest za Godfather wake JK
Angalia simu yako vyema..Clip za Polepole zinahujumiwa ukienda u/tube hazifumguki!!
Mfano hii clip anayo mjibu Rostam, wameihujumu Haifunguki!
Hebu tupe ujuzi jinsi ya kuweza kumsikiliza Polepole dhidi ya hawa mafisadi!
Ukimuondoa yeye wa chini wako vizuri.Aah kumbe unamjua boss wao wa sasa nilitaka kukumbusha tu baada ya kuisoma moja ya comment zako ukisema MI wapewe kazi ya kusafisha kampuni.
Kiufupi kaucheza huu mchezo kitambo na kwa akili kubwa sana sasa yupo kwenye utelelezaji kiulaini adui hakujipanga kkfupi kukabiliana nae amewapiga suprise attack mwisho wa siku inabidi wakubaliane na madai yake🤣🤣🤣Huo ni mtego, acha waingie wanase! Polepole aliwaambia wasiojulikana wamuachie dada yake na pia wamrudishie simu yake.....paaah! Kesho yake wakaufyata!
Umesikia alivyowaambia maCCM kuwa lile file kubwa la wahuni lililopotea hapo makao makuu, akasema data zake anazo kichwani....
Humuelewi wewe labda boss wako ujumbe unamfikia muruaAnaongea sana.
Hana mtiririko
Haeleweki ana target nini?
Angekuwa na akili clip ya dk 10 unaweza zungumza mambo yote ya msingi na watu wakakuelewa.
Kwenye kuelezea hoja na ku hit point wameachwa mbali sana na kina Lissu na Heche.
Mkuu uongeaji huu umepangwa kwa makusudi, uhitaji kuwa na proper flow, watu wako kazini... Kama wamechanganyikiwa kumbe wanautimamu.... Asomae na aelewe! 😁Anaongea sana.
Hana mtiririko
Haeleweki ana target nini?
Angekuwa na akili clip ya dk 10 unaweza zungumza mambo yote ya msingi na watu wakakuelewa.
Kwenye kuelezea hoja na ku hit point wameachwa mbali sana na kina Lissu na Heche.
Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana.
Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka hatarini sana.
Wanamtandao sifa yao kuu ni kutoongea mipango yao na mambo yao waziwazi. Huwezi kusikia Kikwete akisema niliongea na fulani huku akimtaja jina kabisa. Huwezi kumsikia Rostam akisema nilimpigia simu fulani na tukaongea. Mipango yao ni sirini wakitoka kwenye vyombo vya habari ni kufurahisha genge tu.
Sukuma gang hamjifunzi kutokana na makosa na kamwe hamtajifunza. Makosa aliyokuwa anayafanya Founder wenu Jiwe ya kuropoka hovyo nanyi mnayafanya hayo hayo.
Kwenye vita yenu ya Madaraka mlisahau jambo moja. Mtandao hawapendi kuminya. Ila linapokuja suala la kupambania ugali wao hawachekagi na wowote. Kuua ni dk moja tu na hawa aachi any trace.
Kwa hali ilivyo sasa sukuma gang yeyote hata akitoka upele tu na kwenda hospitali yeyote hatorudi akiwa hai.
Mliotajwa kwenye Press za Gwajima na Polepole jiandaeni. Andikeni wosia Na mjifunze kupanga mambo yenu kimya kimya. Mtandao wako kazini kuwamaliza.
R. I. P Tanzania
No Reforms No Election ✊️✌️
Hata wasipotajwa ni sawa na kusema unaficha siri za jeshi la Tanzania zisiandikwe Wikipedia wakati adui anayezitaka anaweza kuona mpaka server zako, emails zako, anapata mpaka picha za satellite za pisitions zako zote.Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana.
Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka hatarini sana.
Wanamtandao sifa yao kuu ni kutoongea mipango yao na mambo yao waziwazi. Huwezi kusikia Kikwete akisema niliongea na fulani huku akimtaja jina kabisa. Huwezi kumsikia Rostam akisema nilimpigia simu fulani na tukaongea. Mipango yao ni sirini wakitoka kwenye vyombo vya habari ni kufurahisha genge tu.
Sukuma gang hamjifunzi kutokana na makosa na kamwe hamtajifunza. Makosa aliyokuwa anayafanya Founder wenu Jiwe ya kuropoka hovyo nanyi mnayafanya hayo hayo.
Kwenye vita yenu ya Madaraka mlisahau jambo moja. Mtandao hawapendi kuminya. Ila linapokuja suala la kupambania ugali wao hawachekagi na wowote. Kuua ni dk moja tu na hawa aachi any trace.
Kwa hali ilivyo sasa sukuma gang yeyote hata akitoka upele tu na kwenda hospitali yeyote hatorudi akiwa hai.
Mliotajwa kwenye Press za Gwajima na Polepole jiandaeni. Andikeni wosia Na mjifunze kupanga mambo yenu kimya kimya. Mtandao wako kazini kuwamaliza.
R. I. P Tanzania
No Reforms No Election ✊️✌️
😄Wanaume ni kina Cornel Nanga, Gen Sultan, Willy Ngoma. Wao wako front msituni wanapambana na serikali..
Wewe fanya press zako huku umejificha kusikojulikana eti utaleta mabadiliko. Shwaini utaongea mpaka upoteze maana
Ni hayo tu. Sijaona ushahidi wa kuuliwa Dr Omar, Magufuli, Ndugai, Mkapa na wengine. Aliyeuliwa ni Abedi Karume.Wabongo mnapenda sana Conspiracy theories na speculation
Wewe ni lile kundi la kupiganiwa,.Ukitaka kuishi VIZURI waogope WATU Hawa kaa NAO mbali sanaaaa. Mwana siasa na mfanya BIASHARA mwenye NDOTO KUBWA
Kwishaaaaaa
Sheria ipi inawakataza kugombea ?Zingatia ushauri wa pole pole kuwa, Vice, Pm, Spika hawatakiwi kugombea.
Asante kijana ume kula kwanza? umesha kunywa chai? Kuna KIJANA kanipigisha kelele kumbe zilikua njaa TU. We ni mpiganaji? Unafanya Nini mtaani maana wapiganaji wakina lissu WAKO jelaWewe ni lile kundi la kupiganiwa,.
Kaa kwa kutulia.....Acha WAPIGANAJI wafanye upande wao.
Tanganyika ni yetu sote!
... na ni wazi ilikuwa 'INSIDE JOB'!Ni hayo tu. Sijaona ushahidi wa kuuliwa Dr Omar, Magufuli, Ndugai, Mkapa na wengine. Aliyeuliwa ni Abedi Karume.
Paul akua sukama gang huyo ni kijana wa watoto unajua Makonda amepita mikono ya wakina nani mpaka kuja kua DC?
Ni kweli anajikanganya sana, anasema desturi VP, PM na S hawawezi kuwa Marais.. lakini anatuambia Warioba alitaka kuchukua fomu.. (warioba amewahi kushika hizo nafasi) yaani haeleweki... kazi kweli ... nakubakiana na wewe alihitaji press moja ya moto kwa nusu saa pekee halafu apotee mtandaoni, na pia aache kutaja taja watu. Huo ni ushamba...
Anatakiwa ku hit point na kusepa. Aache kutaja taja watu.Mkuu uongeaji huu umepangwa kwa makusudi, uhitaji kuwa na proper flow, watu wako kazini... Kama wamechanganyikiwa kumbe wanautimamu.... Asomae na aelewe! 😁