Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

Hatakiwi kutaja majina.

We subiri uone. Wote waliotajwa utaanza kuona wanaanza kutulizwa mmoja mmoja.

Ngusa Samike alijisalimisha kwa JK juzi kati. Musiba leo kaomba msamaha.

Subiri kusikia taarifa ya kifo ya Jaji Warioba.

Mlidhani Mtandao ni mambo ya kusadikika. Sasa wameingia kazini subirini matokeo.
Naweza kukubaliana na wewe kuhusu hilo la kutaja majina ; it was not necessary!
Hawa mafia ya mtandao tutaona kama watawaua hao wengine waliotajwa ; kwahiyo wameanza na Job Ndugai hivyo tungoje vifo vya Warioba na Butiku!!
Kama hao watakufa mysteriously then Kikwete na Rostam will be the culprit s!
Baada ya kuitwa “Mafisadi papa” they went ahead and eliminated Mengi in Dubai!
 
FB_IMG_1754497813453.jpg
 
Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka hatarini sana.
Ushamba na kukosa exposure kunawasumbua sana
 
Anawachoma wenzie
Huyo kijana kuongea huku anataja waliompa taarifa au anaoongea nao si kitu kizuri. Atawaponza wenzie.

Utasikia ooh hata Ndugai alinionya, watakuua ...ooh hata Warioba aliniambia hivi..ooh kuna wazee naongea nao hadi Sasa.m
 
Huyo kijana kuongea huku anataja waliompa taarifa au anaoongea nao si kitu kizuri. Atawaponza wenzie.

Utasikia ooh hata Ndugai alinionya, watakuua ...ooh hata Warioba aliniambia hivi..ooh kuna wazee naongea nao hadi Sasa.
Hapo kweli kakosea, kazidiwa mpaka na Mange
 
Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana.

Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka hatarini sana.

Wanamtandao sifa yao kuu ni kutoongea mipango yao na mambo yao waziwazi. Huwezi kusikia Kikwete akisema niliongea na fulani huku akimtaja jina kabisa. Huwezi kumsikia Rostam akisema nilimpigia simu fulani na tukaongea. Mipango yao ni sirini wakitoka kwenye vyombo vya habari ni kufurahisha genge tu.

Sukuma gang hamjifunzi kutokana na makosa na kamwe hamtajifunza. Makosa aliyokuwa anayafanya Founder wenu Jiwe ya kuropoka hovyo nanyi mnayafanya hayo hayo.

Kwenye vita yenu ya Madaraka mlisahau jambo moja. Mtandao hawapendi kuminya. Ila linapokuja suala la kupambania ugali wao hawachekagi na wowote. Kuua ni dk moja tu na hawa aachi any trace.

Kwa hali ilivyo sasa sukuma gang yeyote hata akitoka upele tu na kwenda hospitali yeyote hatorudi akiwa hai.

Mliotajwa kwenye Press za Gwajima na Polepole jiandaeni. Andikeni wosia Na mjifunze kupanga mambo yenu kimya kimya. Mtandao wako kazini kuwamaliza.

R. I. P Tanzania

No Reforms No Election ✊️✌️
Sasa mkuu hiyo NRNE itasaidia nn!?
 
Kama kuna Wazalendo wanaolitakia mema hili Taifa hiyo kazi ya kuyaangamiza haya makundi mawili wapewe Idara ya Usalama ya Jeshi la Wananchi.

Hawa wahuni na wajinga TISS wote wamegawanyika kwenye hayo makundi mawili ya Mtandao na Sukuma Gang. Wote wanawaza ugali wao tu.
Wako kila sehemu The shadow nilikua natafakali majina Yao kama ni kweli King meker Must mind noma huyu mzee anavaaga ring mkono wa kulia na kushoto vidole vya ndoa lazima itakua ni code na saa mkono wa kulia 😂😂
 
Back
Top Bottom