Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

Acha upumbavu
Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana.

Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka hatarini sana.

Wanamtandao sifa yao kuu ni kutoongea mipango yao na mambo yao waziwazi. Huwezi kusikia Kikwete akisema niliongea na fulani huku akimtaja jina kabisa. Huwezi kumsikia Rostam akisema nilimpigia simu fulani na tukaongea. Mipango yao ni sirini wakitoka kwenye vyombo vya habari ni kufurahisha genge tu.

Sukuma gang hamjifunzi kutokana na makosa na kamwe hamtajifunza. Makosa aliyokuwa anayafanya Founder wenu Jiwe ya kuropoka hovyo nanyi mnayafanya hayo hayo.

Kwenye vita yenu ya Madaraka mlisahau jambo moja. Mtandao hawapendi kuminya. Ila linapokuja suala la kupambania ugali wao hawachekagi na wowote. Kuua ni dk moja tu na hawa aachi any trace.

Kwa hali ilivyo sasa sukuma gang yeyote hata akitoka upele tu na kwenda hospitali yeyote hatorudi akiwa hai.

Mliotajwa kwenye Press za Gwajima na Polepole jiandaeni. Andikeni wosia Na mjifunze kupanga mambo yenu kimya kimya. Mtandao wako kazini kuwamaliza.

R. I. P Tanzania

No Reforms No Election ✊️✌️
Na umbumbu wako hata hao Wana mtandoa muda wao ukifika watakufa tu, usijitie ujuaji kwa kazi ya mwenyezimungu
 
Huo ni mtego, acha waingie wanase! Polepole aliwaambia wasiojulikana wamuachie dada yake na pia wamrudishie simu yake.....paaah! Kesho yake wakaufyata!

Umesikia alivyowaambia maCCM kuwa lile file kubwa la wahuni lililopotea hapo makao makuu, akasema data zake anazo kichwani....
Pambavu anaamini hadithi za abunuasi.. Wahuni wa nchi hii kuna asiyewajua we mpuuzi?? Mmeweza kuwafanya nini? Nyumbu za Chadema bana kama mapunguani
 
Hujaelewa nini? Clip za Polepole mnazihujumu wananchi wasipate elimu juu ya wahuni wa ccm!!
Acheni kuzihujumu clip zake, jibuni hoja anazoziibua Kama mna uwezo!!
Sasa mnazihujumu ili iweje?
Mama yenu Samia is forcing herself to be a presidential contender after serving for the legal ten years of their tenure with Magufuli! Mshauri I akae kando kwani atajipatia shida bure kwa dhinikizo la hao wanao mtu Mia kufanikisha Ufisadi wao!
Nenda pale geti la magogoni katamke hayo we nyumbu. Zaidi ya hapo acha wenye nguvu wale mpaka wasaze, dunia haionei yeyote huruma we mpuuzi.

Principal ya Uchumi inasema Resources are scarce, principal ya uhai inasema survival to the fittest. Usifikiri Lissu anakuonea huruma we chokorahaa, anapigania kizazi chake.. Jifunzeni kwa Mbowe!!
 
Anaongea sana.

Hana mtiririko

Haeleweki ana target nini?

Angekuwa na akili clip ya dk 10 unaweza zungumza mambo yote ya msingi na watu wakakuelewa.

Kwenye kuelezea hoja na ku hit point wameachwa mbali sana na kina Lissu na Heche.
Ukimsikiliza vizuri Polepole target yake ni kuwaelimisha wananchi from a historical perspective juu ya chama cha ccm! Anafanya hivyo knowing kwamba wananchi mara nyingi wanasahau mambo yaliyopita na hawa mafisadi wanatake advantage shortcoming hiyo ya usahaulifu : Ndio maana mara nyingi utamsikia Kikwete akisema “ nalo hilo litapita”!
Polepole ana mtiriko mzuri na kueleweka hana sababu ya kuwa brief kwani audience yake haihitaji brevity.
So far he’s doing a good job for the country inspite the distractions from the “ wahuni “.
 
Unless they kill him, else the man will wipe away every one who dares to threaten his empire as he did so to the past ones.

You will never sit down and enjoy the juices and wines in his presence and determination to overrule this nation entire, the only thing that can spare you plus your beloved is "let him to heaven"
 
Clip za Polepole zinahujumiwa ukienda u/tube hazifumguki!!
Mfano hii clip anayo mjibu Rostam, wameihujumu Haifunguki!
Hebu tupe ujuzi jinsi ya kuweza kumsikiliza Polepole dhidi ya hawa mafisadi!
diaspora watuwekee humu
 
Elimu ya unajimu inaonesha mwaka huu unatawaliwa na namba tisa(9)
2+0+2+5=9
Namna hii ni ishara kuwa mambo mengi kufikia mwishoni na kuanza upya.

Namba zipo hivi: 123456789 halafu tunaanza team 1...........
Mwakani ni namba 1..namba ya utawala, tunaanza upya.
 
Hujaelewa nini? Clip za Polepole mnazihujumu wananchi wasipate elimu juu ya wahuni wa ccm!!
Acheni kuzihujumu clip zake, jibuni hoja anazoziibua Kama mna uwezo!!
Sasa mnazihujumu ili iweje?
Mama yenu Samia is forcing herself to be a presidential contender after serving for the legal ten years of their tenure with Magufuli! Mshauri I akae kando kwani atajipatia shida bure kwa dhinikizo la hao wanao mtu Mia kufanikisha Ufisadi wao!
Mbona unanionyeshea kama vile nafanya kazi TCRA? 😄
 
Ukimsikiliza vizuri Polepole target yake ni kuwaelimisha wananchi from a historical perspective juu ya chama cha ccm! Anafanya hivyo knowing kwamba wananchi mara nyingi wanasahau mambo yaliyopita na hawa mafisadi wanatake advantage shortcoming hiyo ya usahaulifu : Ndio maana mara nyingi utamsikia Kikwete akisema “ nalo hilo litapita”!
Polepole ana mtiriko mzuri na kueleweka hana sababu ya kuwa brief kwani audience yake haihitaji brevity.
So far he’s doing a good job for the country inspite the distractions from the “ wahuni “.
Hatakiwi kutaja majina.

We subiri uone. Wote waliotajwa utaanza kuona wanaanza kutulizwa mmoja mmoja.

Ngusa Samike alijisalimisha kwa JK juzi kati. Musiba leo kaomba msamaha.

Subiri kusikia taarifa ya kifo ya Jaji Warioba.

Mlidhani Mtandao ni mambo ya kusadikika. Sasa wameingia kazini subirini matokeo.
 
Nenda pale geti la magogoni katamke hayo we nyumbu. Zaidi ya hapo acha wenye nguvu wale mpaka wasaze, dunia haionei yeyote huruma we mpuuzi.

Principal ya Uchumi inasema Resources are scarce, principal ya uhai inasema survival to the fittest. Usifikiri Lissu anakuonea huruma we chokorahaa, anapigania kizazi chake.. Jifunzeni kwa Mbowe!!
Wewe na Wenzio chawa wa Samia siku zenu zinahesabika mtakuja lia na kusaga meno swine wahedi!
 
Hatakiwi kutaja majina.

We subiri uone. Wote waliotajwa utaanza kuona wanaanza kutulizwa mmoja mmoja.

Ngusa Samike alijisalimisha kwa JK juzi kati. Musiba leo kaomba msamaha.

Subiri kusikia taarifa ya kifo ya Jaji Warioba.

Mlidhani Mtandao ni mambo ya kusadikika. Sasa wameingia kazini subirini matokeo.
Ni kweli wana mtandao ni hatari sana kama wanaweza kuua rais aliyeko madarakani sembuse hawa akina job? Mzee Warioba, Butiku na wengine wajiandae na rip tu. Hawa jamaa ni hatari ni nguvu ya Mungu tu ndiyo inaweza kuwamaliza
 
Hii vita yao ni kama mechi ya Bush stars vs Born town enzi zile kwenye gazeti la sani.

Tusubiri comeback kabla ya october.
 
Back
Top Bottom