Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #21
Wamejaza watu wao kote. Kuanzia hospitali za Meno hadi za Taifa.Yaani una umwa ghafla halafu una enda kwenye hospital za wapinzani wako, lazima waku laze mazima
Wamejaza watu wao kote. Kuanzia hospitali za Meno hadi za Taifa.Yaani una umwa ghafla halafu una enda kwenye hospital za wapinzani wako, lazima waku laze mazima
Tusubiri 🙏Haiwezi tokea. Kwa hizi recruitment za TISS za kujuana?? Never
Labda idara ya Usalama ya JW ichukue hiyo kazi sio hawa wajinga TISS.
Hujaelewa nini? Clip za Polepole mnazihujumu wananchi wasipate elimu juu ya wahuni wa ccm!!Sijakuelewa mkuu
Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana.
Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka hatarini sana.
Wanamtandao sifa yao kuu ni kutoongea mipango yao na mambo yao waziwazi. Huwezi kusikia Kikwete akisema niliongea na fulani huku akimtaja jina kabisa. Huwezi kumsikia Rostam akisema nilimpigia simu fulani na tukaongea. Mipango yao ni sirini wakitoka kwenye vyombo vya habari ni kufurahisha genge tu.
Sukuma gang hamjifunzi kutokana na makosa na kamwe hamtajifunza. Makosa aliyokuwa anayafanya Founder wenu Jiwe ya kuropoka hovyo nanyi mnayafanya hayo hayo.
Kwenye vita yenu ya Madaraka mlisahau jambo moja. Mtandao hawapendi kuminya. Ila linapokuja suala la kupambania ugali wao hawachekagi na wowote. Kuua ni dk moja tu na hawa aachi any trace.
Kwa hali ilivyo sasa sukuma gang yeyote hata akitoka upele tu na kwenda hospitali yeyote hatorudi akiwa hai.
Mliotajwa kwenye Press za Gwajima na Polepole jiandaeni. Andikeni wosia Na mjifunze kupanga mambo yenu kimya kimya. Mtandao wako kazini kuwamaliza.
R. I. P Tanzania
No Reforms No Election ✊️✌️
Clip za Polepole zinahujiwa ukienda u/tube hazifumguki!!
Mfano hii clip anayo mjibu Rostam, wameihujumu Haifunguki!
Hebu tupe ujuzi jinsi ya kuweza kumsikiliza Polepole dhidi ya hawa mafisadi!
Asbh itakuwa hewani relaxClip za Polepole zinahujiwa ukienda u/tube hazifumguki!!
Mfano hii clip anayo mjibu Rostam, wameihujumu Haifunguki!
Hebu tupe ujuzi jinsi ya kuweza kumsikiliza Polepole dhidi ya hawa mafisadi!
Kama kuna Wazalendo wanaolitakia mema hili Taifa hiyo kazi ya kuyaangamiza haya makundi mawili wapewe Idara ya Usalama ya Jeshi la Wananchi.In the middle of the crisis, lies the opportunities
Ohooooooo!!!Kama kuna Wazalendo wanaolitakia mema hili Taifa hiyo kazi ya kuyaangamiza haya makundi mawili wapewe Idara ya Usalama ya Jeshi la Wananchi.
Hawa wahuni na wajinga TISS wote wamegawanyika kwenye hayo makundi mawili ya Mtandao na Sukuma Gang. Wote wanawaza ugali wao tu.
UnaogopaHe is poisoned
Watu ni makatili mno
Sijamtaja mtu🖐️
Bro punguza woga .niko njiani kuelekea Kongwa kula pilau nyama😋Huyo kijana kuongea huku anataja waliompa taarifa au anaoongea nao si kitu kizuri. Atawaponza wenzie.
Utasikia ooh hata Ndugai alinionya, watakuua ...ooh hata Warioba aliniambia hivi..ooh kuna wazee naongea nao hadi Sasa.
Sina woga. Kesho nitaongea na vyombo vya habari.Bro punguza woga .niko njiani kuelekea Kongwa kula pilau nyama😋
Unazingumzia nini? Au unatupa ratiba ya "mxiba"😁Sina woga. Kesho nitaongea na vyombo vya habari.
Kama upo very much against Mtandao. Hata mafua yakikushika, vuka mpaka tu Namanga, Horohoro au Holili nenda Kenya katibiwe.Watu walibeza sana Nabii Lema alivyokimbilia nje ya nchi kutibiwa alishanusa hatari
That will be wonderful! Anxiously awaiting for the documentary which will be educational to the population to know their real enemies!Nipo natengeneza documentary ya hotuba za Polepole nitaweka hapa season zote!
Wanaume ni kina Cornel Nanga, Gen Sultan, Willy Ngoma. Wao wako front msituni wanapambana na serikali..Kumbe ujaona ile clip aliyochezesha Polepole Jk anaongea na kuwataja wanamtandao
Leo Polepole alikuwa na VAR