Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

Kwa hali ilivyo sasa sukuma gang yeyote hata akitoka upele tu na kwenda hospitali yeyote hatorudi akiwa hai.
Nimelia sana baada ya kusoma hii comment. Kwahiyo sukuma gang wajitibu magonjwa kwa kujifukiza majumbani mwao tu!?
 
Si mmekulia kwenye mabanda ya mbuzi na ng’ombe. Akili mnatoa wapi washamba nyie
Mngekuwa na akili mgekuwa mna jibu hoja za Polepole badala ya kukimbilia kuua watu!! Sasa nijibu huyo Ndugai memuua kwa kosa gani? Kwasababu alimkosoa Samia kuwa anakopa kopa hovyo hivyo kuliongezea Taifa mzigo wa madeni : au kwasababu alitajwa na Polepole?
 
Anawachoma wenzie
Sukuma gang walianza kuonja asali na walidhani itadumu, kuondoka kwa boss wao kumewapa maumivu makubwa sana na hawataki kuwa flexible, hawana kifua na ni wajuaji. Wanatajana hovyohovyo na bado wanaishi kwenye kiapo cha awamu ya 5. Shauri yao... mbona Paulo amejua kuji adjust???
 
Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana.

Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka hatarini sana.

Wanamtandao sifa yao kuu ni kutoongea mipango yao na mambo yao waziwazi. Huwezi kusikia Kikwete akisema niliongea na fulani huku akimtaja jina kabisa. Huwezi kumsikia Rostam akisema nilimpigia simu fulani na tukaongea. Mipango yao ni sirini wakitoka kwenye vyombo vya habari ni kufurahisha genge tu.

Sukuma gang hamjifunzi kutokana na makosa na kamwe hamtajifunza. Makosa aliyokuwa anayafanya Founder wenu Jiwe ya kuropoka hovyo nanyi mnayafanya hayo hayo.

Kwenye vita yenu ya Madaraka mlisahau jambo moja. Mtandao hawapendi kuminya. Ila linapokuja suala la kupambania ugali wao hawachekagi na wowote. Kuua ni dk moja tu na hawa aachi any trace.

Kwa hali ilivyo sasa sukuma gang yeyote hata akitoka upele tu na kwenda hospitali yeyote hatorudi akiwa hai.

Mliotajwa kwenye Press za Gwajima na Polepole jiandaeni. Andikeni wosia Na mjifunze kupanga mambo yenu kimya kimya. Mtandao wako kazini kuwamaliza.

R. I. P Tanzania

No Reforms No Election ✊️✌️
Wabongo mnapenda sana Conspiracy theories na speculation
 
Sukuma gang walianza kuonja asali na walidhani itadumu, kuondoka kwa boss wao kumewapa maumivu makubwa sana na hawataki kuwa flexible, hawana kifua na ni wajuaji. Wanatajana hovyohovyo na bado wanaishi kwenye kiapo cha awamu ya 5. Shauri yao... mbona Paulo amejua kuji adjust???
Paul akua sukama gang huyo ni kijana wa watoto unajua Makonda amepita mikono ya wakina nani mpaka kuja kua DC?
 
Anaongea sana. Mambo anayoongea yote angeweza kuyaongea kwa dk 30 tu na kufikisha ujumbe vizuri kabisa
Ni kweli anajikanganya sana, anasema desturi VP, PM na S hawawezi kuwa Marais.. lakini anatuambia Warioba alitaka kuchukua fomu.. (warioba amewahi kushika hizo nafasi) yaani haeleweki... kazi kweli ... nakubakiana na wewe alihitaji press moja ya moto kwa nusu saa pekee halafu apotee mtandaoni, na pia aache kutaja taja watu. Huo ni ushamba...
 
Paul akua sukama gang huyo ni kijana wa watoto unajua Makonda amepita mikono ya wakina nani mpaka kuja kua DC?
Lakini aliweza kufanya kazi vizuri na Gang na sasa anafanya vizuri na mtandao (karata zake anazichanga vizuri)
 
Mngekuwa na akili mgekuwa mna jibu hoja za Polepole badala ya kukimbilia kuua watu!! Sasa nijibu huyo Ndugai memuua kwa kosa gani? Kwasababu alimkosoa Samia kuwa anakopa kopa hovyo hivyo kuliongezea Taifa mzigo wa madeni : au kwasababu alitajwa na Polepole?
Ni Raisi yupi labda ambaye serikali yake haijakopa?

Magufuli ambaye ni role model wenu alikopa sana tu na bado pia alitumia madaraka yake kunyang’anya matajiri pesa zao.
 
Pun
Anaongea sana.

Hana mtiririko

Haeleweki ana target nini?

Angekuwa na akili clip ya dk 10 unaweza zungumza mambo yote ya msingi na watu wakakuelewa.

Kwenye kuelezea hoja na ku hit point wameachwa mbali sana na kina Lissu na Heche.
baby
 
Nimelia sana baada ya kusoma hii comment. Kwahiyo sukuma gang wajitibu magonjwa kwa kujifukiza majumbani mwao tu!?
Wasicheze mbali na Silali, Namanga, Holili na Horohoro. Wakijiskia vibaya tu wavuke wakatibiwe Kenya
 
Pengine wajomba zako wanafanya hujuma wewe Hujui kwani nyie chawa wa Samia mko wengi hamjuani!
Kwahiyo wewe clip za Polepole zinakusaidia nini? Haya umejua Rostam mwizi, then what next? Au wewe hao mafisadi umewasikia leo? Hivi unafahamu kuwa Polepole godfather wake ni Magufuli?? Magufuli huyu huyu ambaye pia alikuwa rafiki na Rostam?? Magufuli huyu huyu ambaye alimpokea tena Lowassa kwa msaada wa Rostam??

Au sukuma gang mlipiga dili na Rostam then baada ya godfather kufa Rostam amewageuka?? Maana tulitambiwa mnatembea na viete nyie 😂😂😂😂 nafwaaaaaa
 
Ni kweli anajikanganya sana, anasema desturi VP, PM na S hawawezi kuwa Marais.. lakini anatuambia Warioba alitaka kuchukua fomu.. (warioba amewahi kushika hizo nafasi) yaani haeleweki... kazi kweli ... nakubakiana na wewe alihitaji press moja ya moto kwa nusu saa pekee halafu apotee mtandaoni, na pia aache kutaja taja watu. Huo ni ushamba...
Wote waliotajwa we endelea kusikilizia taarifa zao.
 
Back
Top Bottom