Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Clip za Polepole zinahujumiwa ukienda u/tube hazifumguki!!Kumbe ujaona ile clip aliyochezesha Polepole Jk anaongea na kuwataja wanamtandao
Sijakuelewa mkuuClip za Polepole zinahujiwa ukienda u/tube hazifumguki!!
Mfano hii clip anayo mjini Rostam, wameihujumu Haifunguki!
Hebu type I Mauki I jinsi ya kuweza kumsikiliza Polepole dhidi ya hawa mafisadi!
Ndo mana Wana mtandao wanawaita washamba. Exposure ni muhimu sanaLa Cosa Nostra,
usajili wa uhakika, exposure ya watu wake,mizizi mirefu, muda wao mrefu kwenye game, kuwa na wanachama watiifu kutoka makabila na dini zote, financial muscles, good succession plan, good mentorship system nk.
Huwezi kurun gang iliyozuka kwa bahati mbaya halafu ikaleta matokeo chanya, matokeo yake huwa ni chaos tu.
ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan
Nipo natengeneza documentary ya hotuba za Polepole nitaweka hapa season zote!Clip za Polepole zinahujiwa ukienda u/tube hazifumguki!!
Mfano hii clip anayo mjibu Rostam, wameihujumu Haifunguki!
Hebu tupe ujuzi jinsi ya kuweza kumsikiliza Polepole dhidi ya hawa mafisadi!
Anaongea sana.Nipo natengeneza documentary ya hotuba za Polepole nitaweka hapa season zote!
Huo mtandao utaishia kuusikia tu.Ndo mana Wana mtandao wanawaita washamba. Exposure ni muhimu sana
Haiwezi tokea. Kwa hizi recruitment za TISS za kujuana?? NeverHuo mtandao utaishia kuusikia tu.
Mwisho ni mwaka huu huu.
2026 yote yatakuwa mapya.