Waliotaka kumchezea Rais Samia kama Bibi yao wameufyata. Rais kamatia hapo hapo

Bado yule Dr anayeidhalilisha Harvard Law School. Harvard haina sifa ya kutoa wajinga. Ina sifa ya kutoa watu wenye impact duniani. Wanakosoa kwa kutumia ueledi na ushawishi wa hali ya juu. Sielewi huyu dr wetu anakwama wapi.
Kale kamama ka vijisenti vya mboga na kengine kanitwa Ananilea Nkya ,dawa Yao inachemka.
 
Andika vizuri,"utalala" ndo ujinga gani
 
Issa Shivji kakosoa na kupinga Kwa adabu...hatakamatwa..
Mnyika kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa..
Mbowe kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa...

Padri Slaa na wenzie wanajua kabisa mistari waliyovuka....waacheni wapate wanachostahili
Nilijua tu hili litakuja ktk sisi Watanzani.
 
DP world imeleta kizaazaa 🤣🤣🤣pesa tam jmn!!!
 
Asingefanya hivyo wangezidi kumdhihaki na kuubeza utawala wake.
Kuna sehemu ukichezewa lazima ushtuke.Usiposhtuka unakuwa wewe siye huyo.
 
Issa Shivji kakosoa na kupinga Kwa adabu...hatakamatwa..
Mnyika kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa..
Mbowe kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa...

Padri Slaa na wenzie wanajua kabisa mistari waliyovuka....waacheni wapate wanachostahili
Hata mama mboga mboga na kardinal Pengo wamepinga kistaraab hawakuguswa.

Hao waliofikiri kuwa sikio litazidi kichwa acha wale walichovuna.
 
Kuambiwa ukweli ndiyo kuchezewe?ni uongo kuwa anauza maliasili zetu?
 
Haiwezekani utoe hoja kwa kutukana na kudhihaki taasisi ya raisi ukaachwa,mfano ingekua mbow ndio raisi angekubali ukosoaji huu wa kihuni uliofanywa na padre na kundi lake?
 
Hujitambui.. Tatizo ni elimu yako ya madrasa na kukaririshwa. Huwezi changanua mambo. Sio kosa lako...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…