Waliotaka Rais Samia aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Eti nasikia Mwenyekiti alichomoa kwenye ziwa jina la mgombea Makamu Mwenyekiti. Kuna mtu ana clip au hizi habari ni za uzushi?
 
Waliotaka mhe Rais aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
Nimesikitika sana.
 
Umeisoma katiba ya CCM?
 
Kwa ulichokiandika nimepata majibu mawili.

Mosi hujawahi kusoma katiba , pili hujui maana ya neno uhaini.
 
Wanaendeleza kutishia watu watakaondeleza kupinga .. Wala hakuna kesi hapo ni maigizo ya kuendelea kutishia yeyote ajaye atakae hoji
 
uko sahihi kiongozi kwa kuongezea tu raisi ni mamlaka ya juu kabisa na ya mwisho apa nchini. tishio lolote kwenye hayo mamlaka ndo uhaini wenyewe.
 
Waliotaka mhe Rais aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
We unaota au? Kaamke usije jikojolea.
 
Watanzania mna shida kweli. Huo ndiyo utaratibu hata kipindi cha JPM nilifuatilia mkutano kuna wakati Shein alikaimu, JPM akatoka kura zikapigwa. Ni utaratibu shida ni pale watanzania mnageuza kiti cha urais kuwa kama ni Umungu fulani hivi.
Mbn Samia alipisha zoezi la upigaji kura na ht wakati wa kutangazwa matokeo. Nini kimetokea Tena mpk tuhusishe na uhaini?
 
Back
Top Bottom