Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Una akili ndogo sana kwa TIMU ya Taifa inacheza Mashindano ya LEVEL gani?Hapa wamuondowe Eng Hersi yeye sasa hivi ni level za CAF, ni kumkosea adabu kumuweka kamati na machawa, huu ni ukosefu wa heshima.
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app