Walioteuliwa Kwenye Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars hawa hapa

Walioteuliwa Kwenye Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars hawa hapa

Upuuzi wa Nchi ya kipuuzi, yaani unateua kamati ambayo utatumia pesa kuhamasisha na kushangilia timu iliyoko Ivory coast . Matahira wa Nchi naona wamo... Mwijaku, Baba levo... Wakiongozwa na tapeli la FBI bongo zozo.
Upigaji wa hela tu
 
Hiyo list ishatiwa najisi baada ya kuona jina Jemedari Said. Tunaenda kufanya vibaya na hao watu ndio watapeleka nuksi.

Wamemshushia heshima Eng Harsi hawakupaswa kumuweka kwenye kundi moja na watu kama hao
 
Keyboard worriers mmekusanyika kuiponda kamati. Ninyi mngepewa huo uhamasishaji mungeweza?!
 
Sina hakika kama tulipaswa kufanya haya kwasasa hasa kwenye soka la leo. Mantiki yake ni nini? Sijajua. Tumewahi kuwa na hizi kamati huko nyuma ,je zilitusaidia? Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote lakini siku hizi unakosa watu wenye maarifa mapana
Hiyo ni miradi ya watu kupiga pesa ndo maana kila mara wanakuja na huo ujinga uku matokeo yakiwa yale yale.
 
Keyboard worriers mmekusanyika kuiponda kamati. Ninyi mngepewa huo uhamasishaji mungeweza?!
Hebu tuambie wanahamasisha Nini?, Huo uhamasishaji utafanyika wapi na timu zitakuwa zinacheza wapi?. Tumia akili ndogo yaani timu iwe ivory Coast afu wahamasishaji wako Tz?. Ndio maana ujinga hauwezi kuisha TZ.
 
Keyboard worriers mmekusanyika kuiponda kamati. Ninyi mngepewa huo uhamasishaji mungeweza?!
Uhamasishaji wa nini?.tunaacha kuwekeza kwenye mipango yakutengeneza timu ya maana itakayoleta ushindani kwa miaka mingi ijayo tunawekeza kwenye uhamasishaji.na wewe unaona ni sawa.
 
Hii Nchi kuna mambo ya kipumbavu mengi sana, kwahiyo kuna watu walikaa wakasugua vichwa wakaja na hiyo list?

Sishangai list, nashangaa waliowateua.
 
Mtu wa muhimu hapo ni Bongozozo tu, huyu jamaa huwa anajitahidi sana.

Haji Manara kususa kwake kumemuharibia, nafasi kama hii ndio ingemsaidia afunguliwe na awe huru kijihusisha na football.
 
Ni Tanzania pekee ukijifanya mjinga mjinga ndo utaziona fursa na kutengeneza pesa.
 
Back
Top Bottom