Walioteuliwa Kwenye Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars hawa hapa

Walioteuliwa Kwenye Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars hawa hapa

Wapi Mzee wa utopolo? Yeye siku zote anahamasisha soka akina mwijaku wanasifia Matajiri. Ni yupi alistahili kuwa hapo,? Mbona huyu Utopolo ( one man show) mnamkosea adabu?
 
Hapa wamuondowe Eng Hersi yeye sasa hivi ni level za CAF, ni kumkosea adabu kumuweka kamati na machawa, huu ni ukosefu wa heshima.
Na sasa anaalikwa na mabosi wenzake wa vilabu Vikubwa vya ulaya atakuwa bize sana !
 

Attachments

  • 5905FB51-A00C-4D9F-B5E5-381A71D2F7E7.jpeg
    5905FB51-A00C-4D9F-B5E5-381A71D2F7E7.jpeg
    158.9 KB · Views: 1
Hii nchi ukiwa mwepesi wa Kucheka unaweza kupasuka Mbavu , Yaani Wahuni ndio wanaoteuliwa eti kwenye kuhamasisha timu ya Taifa .

Kwenye kikosi hicho yumo Mwijaku aliyeshindwa kutimiza ahadi yake ya kutembea uchi ikiwa timu yake ingefungwa .

View attachment 2861322View attachment 2861323
View attachment 2861324
Ni ujinga mtupu, timu ya taifa ahitaji hamasa ya kulazimishwa, chagueni wachezaji wenye uwezo na kuwapa kocha mzuri. Wakijitahidi wakishinda utaona watu wanajazana uwanjani wakitegemea wanakwenda kupata burudani ya ukweli na ushindi.
 
Back
Top Bottom