Walioteuliwa Kwenye Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars hawa hapa

Walioteuliwa Kwenye Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars hawa hapa

ni sawa na kumuweka MWAKINYO kuwa mhamasishaji, badala ya watu kufika uwanjani watu ndo watasusa kufika......?
 
Uhamasishaji wa nini?.tunaacha kuwekeza kwenye mipango yakutengeneza timu ya maana itakayoleta ushindani kwa miaka mingi ijayo tunawekeza kwenye uhamasishaji.na wewe unaona ni sawa.
Tunawezaje kuwekeza kwenye Timu ya maana??
 
Hebu tuambie wanahamasisha Nini?, Huo uhamasishaji utafanyika wapi na timu zitakuwa zinacheza wapi?. Tumia akili ndogo yaani timu iwe ivory Coast afu wahamasishaji wako Tz?. Ndio maana ujinga hauwezi kuisha TZ.
nimwjiuliza hili swali, nimekosa jibu
 
Pimbi wewe, Eng Hersi siyo wakukaa kamati na machawa wa Tff au wizara.

Eng Hersi sasa hivi ni wa viwango vya kuteuliwa na CAF kufanya kazi na kina Mamelodi, siyo kumuweka na hawa machawa, hapo nafasi ya Eng Hersi wamuingize Stive Nyerere.
CAF hawateui Machawa wa GSM
 

Attachments

  • FB_IMG_1704390729991.jpg
    FB_IMG_1704390729991.jpg
    51.6 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1704390718879.jpg
    FB_IMG_1704390718879.jpg
    51.2 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1704390699696.jpg
    FB_IMG_1704390699696.jpg
    27.7 KB · Views: 1
Machawa wamejaaa

Nchii hii nfk kweli

Ova
 
Huyo oscar anafanya nini hapo?...
Sura hazivutii zote kwa uhamasishaji...
Sasa Try again na ustaarabu wake wamemjumuisha na hao vyawa....
 
Kuna Watu Wawili hapa ni Wanaume Jina tu ila siyo Wanaume Kamili Wamejumuishwa hivyo naiona kabisa tayari Nuksi imeingia na Taifa Stars inaenda Kufanya vibaya mno.
Hebu watajee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pimbi wewe, Eng Hersi siyo wakukaa kamati na machawa wa Tff au wizara.

Eng Hersi sasa hivi ni wa viwango vya kuteuliwa na CAF kufanya kazi na kina Mamelodi, siyo kumuweka na hawa machawa, hapo nafasi ya Eng Hersi wamuingize Stive Nyerere.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiona hivyo ujue ndo level yake hapo.
 
Eng Hersi àmeowa dada yake Gharib, unalijuwa hili?

Huyu ni mwanafamilia siyo Chawa, Chawa hawezi kuaminiwa kupewa fungu la usajili.
Team inaendeshwa kiukoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu na shem wakee, watu weuweeee.
 
Back
Top Bottom