Walioteuliwa Kwenye Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars hawa hapa

Una akili ndogo sana kwa TIMU ya Taifa inacheza Mashindano ya LEVEL gani?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Pimbi wewe, Eng Hersi siyo wakukaa kamati na machawa wa Tff au wizara.

Eng Hersi sasa hivi ni wa viwango vya kuteuliwa na CAF kufanya kazi na kina Mamelodi, siyo kumuweka na hawa machawa, hapo nafasi ya Eng Hersi wamuingize Stive Nyerere.
 

Mpira ni mchezo unaopendwa bila kuhitaji watu wa kuhamasisha ispokuwa wale wenye kipato hawapo kwenye
Wacha zitafunwe hazina kazi!
 
Hii nchi mpira tayari una hamasa ya kutosha hapa ni kutumia pesa bure.
 
Mwana JF mkongwe hajui hii ni habari ya michezo, unaileta jukwaa la siasa, sasa huna tofauti na Mwijaku
 
Tanzania sio masikini,watanzania walipa kodi wazuri ila gavoo expenditures!wanazilalua kodi zetu watakavyo,hapo utasikia imetumika mlns of money .Iyo kamati tokea lini ikaleta matokea ndo yale ya kuwasafirisha walevi kwenda kushangilia timu
 
Hicho ni kukundi cha Vichekesho tuu kuanzia Joti ,Mwijaku na Oscar wange andaa tuu kipindi cha vichekesho tuuu
 
Sina hakika kama tulipaswa kufanya haya kwasasa hasa kwenye soka la leo. Mantiki yake ni nini? Sijajua. Tumewahi kuwa na hizi kamati huko nyuma ,je zilitusaidia? Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote lakini siku hizi unakosa watu wenye maarifa mapana
 
Upuuzi wa Nchi ya kipuuzi, yaani unateua kamati ambayo utatumia pesa kuhamasisha na kushangilia timu iliyoko Ivory coast . Matahira wa Nchi naona wamo... Mwijaku, Baba levo... Wakiongozwa na tapeli la FBI bongo zozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…