Wapi Mzee wa utopolo? Yeye siku zote anahamasisha soka akina mwijaku wanasifia Matajiri. Ni yupi alistahili kuwa hapo,? Mbona huyu Utopolo ( one man show) mnamkosea adabu?
Ni ujinga mtupu, timu ya taifa ahitaji hamasa ya kulazimishwa, chagueni wachezaji wenye uwezo na kuwapa kocha mzuri. Wakijitahidi wakishinda utaona watu wanajazana uwanjani wakitegemea wanakwenda kupata burudani ya ukweli na ushindi.