Walioteuliwa na SSH wote wamemshukuru kupitia mitandao ya kijamii, Makonda pekee ndiye kama amegoma kushukuru kwa uteuzi

Walioteuliwa na SSH wote wamemshukuru kupitia mitandao ya kijamii, Makonda pekee ndiye kama amegoma kushukuru kwa uteuzi

Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.

Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Mkuu leo utachoka kwa kuanzisha thread hahaha😂😂😂!

Samia na Makonda wanajuana hata wakikutana unajua kabisa hawa ni tofauti na wengine na hawa ni zaidi ya uongozi kwa hiyo kuna mengi hatuyajui baini yao na ushahidi ni nyakati wakikutana!
Halafu ni wazi Makonda ni mmoja ya watu wa Samia take it or leave it wana connection yao wenyewe….

Kwa hiyo unaweza poteza muda wako bure ukifikiri hivyo……
 
Sipotezi muda mkuu, haya ndio matumizi ya muda wangu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaumia sana kwa Makonda!?

Unapiga majungu ila yeye anazidi kupaaa!

Ni kama mamako anakupuuza tu
Mlima umegeuzwa kichuguu daadeq. Na Bado!

Mama anaendelea kuupiga mwingi....
 
Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.

Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Sasa ile kazi ya kusikiliza ufisadi wanaofanyiwa wananchi na vigogo nani ataendeleza? Huyo katibu mkuu mpya aliyemkaribisha 'lucipher' (balozi wa marekani) makao makuu ya ccm hakika sio jadi wala hana sababu ya kupambana na fisadi kwa kuwashika fisadi masikio. Wala haonekani ni rafiki wa umma wanaoteseka kwa ulaji rushwa vigogo na mamlaka za kusimamia haki.
 
Nakuona namna unavyoweweseka na kuhangaika sana katika kujaribu kumchafua Mheshimiwa Makonda. Hata hivyo hutafanikiwa kwa namna na njia ya aina yoyote ile.Makonda ni mwamba na kila mtu anafahamu uchapakazi wake na uzalendo wake kwa Taifa letu. Anafahamu upendo mkubwa na heshima kubwa aliyonayo kwa Mheshimiwa Rais na namna ambavyo amekuwa tayari kufanya na kutekeleza maagizo ya Mheshimiwa Rais . Nakukumbusha tu ya kuwa Mheshimiwa Makonda ndio mtu pekee aliyemtabiliaga Mheshimiwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan kuwa Makamu wa Rais na na mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo katika Taifa letu na kweli ikaja kutokea hivyo. Kwa hiyo huwezi kutuambia wala kutupandikiza chuki kwa Mheshimiwa Makonda maana tunamfahamu sana uzalendo wake.
 
Back
Top Bottom