Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Matarajio yanapopishana na matokeoNimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Bado hujasema.....Nakuona namna unavyoweweseka na kuhangaika sana katika kujaribu kumchafua Mheshimiwa Makonda. Hata hivyo hutafanikiwa kwa namna na njia ya aina yoyote ile.Makonda ni mwamba na kila mtu anafahamu uchapakazi wake na uzalendo wake kwa Taifa letu. Anafahamu upendo mkubwa na heshima kubwa aliyonayo kwa Mheshimiwa Rais na namna ambavyo amekuwa tayari kufanya na kutekeleza maagizo ya Mheshimiwa Rais . Nakukumbusha tu ya kuwa Mheshimiwa Makonda ndio mtu pekee aliyemtabiliaga Mheshimiwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan kuwa Makamu wa Rais na na mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo katika Taifa letu na kweli ikaja kutokea hivyo. Kwa hiyo huwezi kutuambia wala kutupandikiza chuki kwa Mheshimiwa Makonda maana tunamfahamu sana uzalendo wake.
Endelea kuweweseka na kuhangaika na mheshimiwa Makonda wakati akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzaniaBado hujasema.....
nadhani ile muhimu zaid,Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Usihangaike na makonda, yeye tayar ameshachora ramani ya ushindi . Utajua 2025. He is coming very strongNimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Labda anakula paska na keagan🤣🤣akishiba pilau la paska atatoa press conference kumshukuru kizmkazKwahiyo ndugu Bashite kasusa?
Hahah Yesu aliyemwacha akajitundikeh,Bora mwenzie Petro aliyesamehewa na kukabidhiwa kanisaYuda Iskarioti ni ndugu yake Yesu ujue 🐼🔥
Kupata vyeo vya hisani nayo ni kupaa?! Nimecheka vibaya.😂[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaumia sana kwa Makonda!?
Unapiga majungu ila yeye anazidi kupaaa!
Ni kama mamako anakupuuza tu
Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Nakumbuka toka anafariki jiwe ulikuwa unakataa viuno eti sukuma gang inakomeshwa!Mlima umegeuzwa kichuguu daadeq. Na Bado!
Mama anaendelea kuupiga mwingi....