Waliounga mkono juhudi za Dkt. Magufuli, wajiuzulu sasa

Ukweli unapokuwa unafiki na unafiki unapokuwa ukweli. Ila tutaelewana tu.

Kuna watu walifika kutamka maneno ya kufuru kama eti yeye ni Yesu na mwingine eti Mungu amshukuru yeye.
 
Bado mpaka muda huu,sijasikia muunga mkono juhudi mmoja akibwaga manyanga (kujiuzulu) kwasababu aliyemuunga mkono katangulia mbele ya haki.
 
Walinunuliwa.
 
Bado mpaka muda huu,sijasikia muunga mkono juhudi mmoja akibwaga manyanga (kujiuzulu) kwasababu aliyemuunga mkono katangulia mbele ya haki.
Au kusema akazikwe nae
Cc
Mwita waitara
 
​

cc: Suphian Juma​

Prof. Lipumba sijui aliwahi kupokea malipo yake kwa kazi ya kuuwa upinzani!
Alipewa ndefu nasikia kuikqna ukawa na EL akachota kidunchu akaenda Rwanda kula nchi walivyochukua madaraka wakasafisha account yake kurudi kakuta inasoma 0 alilalamika jiwe akampoza!ila watoto wa mjini wakaipiga. Nasikia Iliku b+
 
Prof Lipumba,Lyatonga Mrema.... wangepumzika siasa wangeandaa vijana wa kurithi mikoba yao.
 
Katiba ingekuwa inaruhusu uchaguzi urudiwe kwa msiba mzito tulioupata wahali ingekuwa raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…