Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
clouds imefubaa dah...Embu kujeni wasikieni ilikuwaje kuwaje hadi kuingia Ikulu.
Wengi wanasema ni Usalama.
===
Clouds wameongea na Samweli Vomboteka, mmoja wa kijana aliyeonekana kwenye hafla hiyo wakiwa na matenga ya madafu. Samweli amesema kijiwe chao ni kipo maeneo ya AtoZ supermarket karibu na Ocean Road, na madafu wanayatoa Kigamboni.
Walilipwa pesa kiasi gani?
Hakutaja kiasi cha pesa walichouza kwa dafu moja, ila Rais Samia aliwapa milioni kadhaa bila kutaja ni milioni ngapi hasa.
Walipataje mualiko?
Mh Magoti ndio aliwapitia akawaambia waandae mzigo na kuwaambia pa kupeleka na muda ulipofika walipeleka
Je, wana historia ya kufanya kazi serikalini?
Anasema hawajawahi kuajiriwa serikalini imekuwa bahati tu wakapata nafasi hiyo, akieleza yeye Logistic NIT mwaka wa 2 wakati mwenzake hasomi na kuuza madafu ndiyo shughuli yao kuu.
Mtaani wanasemaje?
Wanapewa hongera kwa kupata bahati kufika Ikulu na kupata nafasi kama hiyo kiujumla, baadhi wakitamani wangekuwa wanauza madafu na kuangukiwa na bahati kama hiyo.
Hivi kuna usalama anaeweza kukubali kuwa yeye usalama?? Ebu acheni kutufanya wajinga na drama zenuWengi walisme usalama
Kumbe dogo msomi wa nit coz logistics
Naunga mkono hoja 🤣😁Unadhani ni rahisi kuimgiza kitu cha Kula ikulu??kitu kitakacholiwa na wakubwa wa Nchi??
Yani Magoti apite tu awakute awaambie keaho leteni madafu Ikulu [emoji1787]
Msiwe wajinga basi kwa kiwango hichi
Yaani nimecheka Hadi machozi.
Sasa wewe Jichanganye useme hujawahi muona huko Chuo akisomea Logistics 😆😆😆😆😁😁🔥🔥🤪🤪🤪🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/reel/C4fIZLjq2iE/?igsh=eXRvbnA3eGQ3ZHV5
Is it Possible by Henry R. Ole Kulet 🙌Is possible