Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Mungu ibariki Tanganyika,Mungu ibariki Tanzania.Mapenzi ya Mungu nayatimie duniani kama Peponi.Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana ujue hatuna serikali halali ni wahuni
Leo nimeshangaa mitandaoni kote wale machawa wote wamekimbia...... Trump kasema na iwe fundisho Kwa mataifa mengine dhidi ya maslahi ya wamarekani
Ukiona mwenzako ananyolewa wewe anza kulowanisha kichwa chako wembe unakujaWaliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania
Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana.
Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
Marekani walishasema kuwa kuwepo kwa vikwazo vya mara kwa mara dhidi ya uwekezaji wa Marekani na mambo mengine lukuki kama kukandamiza uhuru wa dini na uhuru wa kujieleza, umewafanya watathmini upya uhusiano wao na Tanzania. kwa hiyo ni suala la muda tu Trump akiona kuna kitu anataka lazima apitie faili la mauaji ya MO29.Ukiona mwenzako ananyolewa wewe anza kulowanisha kichwa chako wembe unakuja
Kabisa lo