Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau vibanda vya kupigisha simu1: Kutoa virus kwenye computer
2: Usambazaji wa Vifaa vya solar
3: Internet cafes
4: Uzaaji wa vocha jumla
5: Kusomea na kufahamu lugha nyingin (eng, frnc, chinese,etc)
Hata Sasa kichina Bado kina soko mkuu!1: Kutoa virus kwenye computer
2: Usambazaji wa Vifaa vya solar
3: Internet cafes
4: Uzaaji wa vocha jumla
5: Kusomea na kufahamu lugha nyingin (eng, frnc, chinese,etc)
Kupiga cmu kwenye vibanda na mabanda ya video!Ku-burn nyimbo kwenye CD
LblSiku hizi hamna fursa kabisa. Ukiona fursa inachangamkiwa jua kuna utapeli.
Hakika kwenye matumizi ya internet tumepiga sana hela hasa kwenye online application1: Kutoa virus kwenye computer
2: Usambazaji wa Vifaa vya solar
3: Internet cafes
4: Uzaaji wa vocha jumla
5: Kusomea na kufahamu lugha nyingin (eng, frnc, chinese,etc)
Hatari sana. Wadada walikuwa na rangi mbili kwenye mwili mmojaVipodozi vya kuchubua,