Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

umerukaruka weeee mwisho wa picha umekiri mwenyewe umasikini wenu......nyumba kibao vitanda ni vya kamba mamaee zenu halafu mnatembea sana peku ina maana ela ya kununua viatu mmekosa....
sitasahau nilienda huko kijijini kwenu nikakuta waya wa umeme umepita kwenye mti badala ya kwenye nguzo......mshukuruni sana bakhresa na ile azam sealink yake inayobeba vyakula kila ijumaa na kuja navyo huko
Unaonekana we niziro akilini mwako unataka nikujibu nn au tubishane nn maana unaonekana unamgogoro wanafsi nawatu wa Kisiwa pendwa hivi maisha yakijijini Nani asiyeyajua ni duni iwe bara au visiwani.

Nanani aliekwambia kitanda Cha kamba ni ishara ya umaskini hata wazungu waonalala VIP Villa wanalala kwenye vitanda vya kamba wanaota jua kwenye fukwe Pendwa.
Kalale Kesho Shule
 
Mkuu hiyo research umedanya wapi ulitakiwa useme vitanda vingi vya kamba ningekuelewa tutake radhi mkuu Zanzibar hata 5 star Hotel Zina vitanda vya zege na sikama wanashindwa kueka vitanda vya kawaida per day gharama 400,000 hakuna sehemu anakosekana maskini katika huu ulimwengu Mbwa Baba ako na mama ako.
Hahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntatembelea Znz karibuni kufanya utafiti wangu
 
umerukaruka weeee mwisho wa picha umekiri mwenyewe umasikini wenu......nyumba kibao vitanda ni vya kamba mamaee zenu halafu mnatembea sana peku ina maana ela ya kununua viatu mmekosa....
sitasahau nilienda huko kijijini kwenu nikakuta waya wa umeme umepita kwenye mti badala ya kwenye nguzo......mshukuruni sana bakhresa na ile azam sealink yake inayobeba vyakula kila ijumaa na kuja navyo huko
Hahaaaa!!! Kumbe hawa Zanzibar masikini hivi haha
 
Unaonekana we niziro akilini mwako unataka nikujibu nn au tubishane nn maana unaonekana unamgogoro wanafsi nawatu wa Kisiwa pendwa hivi maisha yakijijini Nani asiyeyajua ni duni iwe bara au visiwani.

Nanani aliekwambia kitanda Cha kamba ni ishara ya umaskini hata wazungu waonalala VIP Villa wanalala kwenye vitanda vya kamba wanaota jua kwenye fukwe Pendwa.
Kalale Kesho Shule
Mkuu kwani wazungu wana nini? Mbona unawa over rate kiasi hicho?
 
Kuna wanangu tulikuwa batani singapore inafika saa 10 wamelewa chakari,tukawa tunatoka kurudi majumbani,mi stumii pombe so niko macho makavu sasa wakati tunaelekea kwenye gari tukapishana na 'mademu' washkaji wakawa wanawasalandia mi nkawaonya jamani nyie mshalewa,na hili eneo sio zuri mtakuja kubeba vitu visivyoeleweka,wakaniona mi fala,eti wakajihakikishia kwa kuwashika maziwa na kupapasa pale kati,mademu gani wana sauti nzito vile.,alafu nahisi kuna wengine wanatoa kabisa mkuyenge mana jamaa alipapasa kabisa akaona hamna kitu.wakawaopoa bwana.kilichofuatia hapo ni majuto.bahati nzuri hata mimi hawajui kama najua.na mie nmejitolea kuwafichia siri.

Kuna mmoja mbongo kabisa yupo hong kong naye kajibadilisha huwezi kumjua kama nidume mpaka akuongeleshe ndo usikie bezi

hahah... endelea kuwafichia siri mzee baba
 
Ulijuaje kama ananyonyesha?
Niko hivi; wakati naingia pale mapokezi nilimuona akiwa kakaa kwenye kochi ananyonyesha, nikadhani na yeye ni mteja tu, baada ya kuingia chumbani na kumtuma huyu mhudumu ndo akaja na huyo huyo bila mtoto huku kashika kanga moja nyepesi aisee. Walipoondoka tu nikafunga mlango kwa funguo na komeo kabisa.
 
Hapo sawa nimekuelewa,ila kama analipa ungefumua tu
 
hahhahhahhhaaaa kuna lodge moja mbagala kwa nje ni nzuri sana tena ghorofa ila ndani vitanda ni vya zege aisee vina kunguni kinyama yaan
Sikupata usingizi mle aisee vile vitanda utadhani kaburi, plus kunguni acha kabisa Mkuu
 
Wazungu ni watu km mm naww ila lengo nikutoa tu mfano yakwamba hata wageni ambao wanakaa ktk VIP luxury Villa wanalipa 1m per day nawanatumia hivo vitanda vyakamba kulalia kwake anaona ni umaskini kutumia.
Kwani hamna wabongo wanaolala hizo hotel?
 
umerukaruka weeee mwisho wa picha umekiri mwenyewe umasikini wenu......nyumba kibao vitanda ni vya kamba mamaee zenu halafu mnatembea sana peku ina maana ela ya kununua viatu mmekosa....
sitasahau nilienda huko kijijini kwenu nikakuta waya wa umeme umepita kwenye mti badala ya kwenye nguzo......mshukuruni sana bakhresa na ile azam sealink yake inayobeba vyakula kila ijumaa na kuja navyo huko

waya wa umeme kwenye mti badala ya nguzo daaah hahahah kweli bado sijatembea inabidi niingie zanzibar nikaone vitanda vya zege na hizo waya za umeme kwenye miti
 
Back
Top Bottom