Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Unaonekana we niziro akilini mwako unataka nikujibu nn au tubishane nn maana unaonekana unamgogoro wanafsi nawatu wa Kisiwa pendwa hivi maisha yakijijini Nani asiyeyajua ni duni iwe bara au visiwani.

Nanani aliekwambia kitanda Cha kamba ni ishara ya umaskini hata wazungu waonalala VIP Villa wanalala kwenye vitanda vya kamba wanaota jua kwenye fukwe Pendwa.
Kalale Kesho Shule
 
Hahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntatembelea Znz karibuni kufanya utafiti wangu
 
Hahaaaa!!! Kumbe hawa Zanzibar masikini hivi haha
 
Mkuu kwani wazungu wana nini? Mbona unawa over rate kiasi hicho?
 

hahah... endelea kuwafichia siri mzee baba
 
Ulijuaje kama ananyonyesha?
Niko hivi; wakati naingia pale mapokezi nilimuona akiwa kakaa kwenye kochi ananyonyesha, nikadhani na yeye ni mteja tu, baada ya kuingia chumbani na kumtuma huyu mhudumu ndo akaja na huyo huyo bila mtoto huku kashika kanga moja nyepesi aisee. Walipoondoka tu nikafunga mlango kwa funguo na komeo kabisa.
 
Hapo sawa nimekuelewa,ila kama analipa ungefumua tu
 
hahhahhahhhaaaa kuna lodge moja mbagala kwa nje ni nzuri sana tena ghorofa ila ndani vitanda ni vya zege aisee vina kunguni kinyama yaan
Sikupata usingizi mle aisee vile vitanda utadhani kaburi, plus kunguni acha kabisa Mkuu
 
Wazungu ni watu km mm naww ila lengo nikutoa tu mfano yakwamba hata wageni ambao wanakaa ktk VIP luxury Villa wanalipa 1m per day nawanatumia hivo vitanda vyakamba kulalia kwake anaona ni umaskini kutumia.
Kwani hamna wabongo wanaolala hizo hotel?
 
Nilienda kufanya kazi kwenye kisiwa kimoja ziwa victoria, gesti ni za mabanzi, ilipofika usiku gesti nzima ilikuwa kama karakama ya kutengenezea milango!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mi sijaelewa jamani
 

waya wa umeme kwenye mti badala ya nguzo daaah hahahah kweli bado sijatembea inabidi niingie zanzibar nikaone vitanda vya zege na hizo waya za umeme kwenye miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…