Aiseeeh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poleekabisa kaka... mimi hii ilinikuta bangkok pembeni kidogo ila mwenyeji wangu akaniambia huko pattaya ndio kama nyumbani kwao wamejaa kama uchafu yan...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]umerukaruka weeee mwisho wa picha umekiri mwenyewe umasikini wenu......nyumba kibao vitanda ni vya kamba mamaee zenu halafu mnatembea sana peku ina maana ela ya kununua viatu mmekosa....
sitasahau nilienda huko kijijini kwenu nikakuta waya wa umeme umepita kwenye mti badala ya kwenye nguzo......mshukuruni sana bakhresa na ile azam sealink yake inayobeba vyakula kila ijumaa na kuja navyo huko
Aiseeeh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] polee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] waliliwaa kibogaaa...?!!!!Kuna wanangu tulikuwa batani singapore inafika saa 10 wamelewa chakari,tukawa tunatoka kurudi majumbani,mi stumii pombe so niko macho makavu sasa wakati tunaelekea kwenye gari tukapishana na 'mademu' washkaji wakawa wanawasalandia mi nkawaonya jamani nyie mshalewa,na hili eneo sio zuri mtakuja kubeba vitu visivyoeleweka,wakaniona mi fala,eti wakajihakikishia kwa kuwashika maziwa na kupapasa pale kati,mademu gani wana sauti nzito vile.,alafu nahisi kuna wengine wanatoa kabisa mkuyenge mana jamaa alipapasa kabisa akaona hamna kitu.wakawaopoa bwana.kilichofuatia hapo ni majuto.bahati nzuri hata mimi hawajui kama najua.na mie nmejitolea kuwafichia siri.
Kuna mmoja mbongo kabisa yupo hong kong naye kajibadilisha huwezi kumjua kama nidume mpaka akuongeleshe ndo usikie bezi
ikikukuta hutakuja kusahau kamwe... ombea hivyohivyo mdau
[emoji23] [emoji23]mm nilienda gest kugegedana usiku kucha kumbe muhudumu kajificha chini ya kitanda kule vingunguti
Shenzy kabisa Mkulima nakazalika nakazalika[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sitasahau niliendaga morogoro vijijini (hata jina nimelisahau) kikazi sasa ukafika wakati wa kutafuta gest... aisee sikuwahi kujua kama kuna gest za buku mbili.. buku tatu.. daah .. kwanza niliogopa nkajua leo nalazwa gereji aseee.. ila sema ka-gest kalikuwa sex kinoma noma.. tushuka tusafi ila tumefubaa..godoro jembamba... yaan niliona masaa ya usiku yameongeseka duuh..
Nyingine niliendaga wilaya ya kilindi kipindi hicho ndo kwaaaaaanza inaanzishwa tulikuwa wa2 mimi na mfanyakazi mwenzangu (manzi) tukapata chumba kimoja tuu na ndio kilikuwa kimesalia poote pale (nilifurahi kimoyomoyo japo nilijidai nalalamika daah daaah). ilibidi nilale nae tuu ..... sema nyakati za usiku ilibidi tuwe tunasahaulishana matatizo.. nakazalika nakazalika..
Bab ulikuwa mzee wa Exile nini. Maana unawaambia washkaj naombeni getho Leo unataka nimnyooshe mbavu demNilishawahi kuingia guest house na manzi mara moja tu. Sijawahi tena kupeleka mwanamke guest since then!
Usiniulize nafanyiaga wapi kwichi kwichi.
Apart from that, sina experience mbaya na guest house.
Kiukweli tukikubali wanaume kila mmoja afunguke yake ya kunjunjana, wanawake mtatuona sie kama wanyama vile. Ni bas tu wengine huwa hatupendi kuzungumza yetuWanaume mmeumbiwa mateso kweli. Yani mpaka kunguni kisa k? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wazuri hivi....!!Mkuu nimejaribu kuwa google hao ma Shemales aisee ni ngumu kuwagundua....
Kwenye matiti ndio naunganisha dot wana boost vipi..??? Hadi yanakuwa na muonekano wa kikeView attachment 822171
Ivi kumbe thailand wa malaya wapo so cheap..,,,,$40 allnight??????aaaah acha tu kaka sitakuja kusahau hilo tukio... yani baada ya hapo nikaingia chimbo kuwastudy shemales yani hata aweje namgundua kwa kumcheki tu hivi.
thailand hapafai mzee
ukizubaa unaenda kugundualia room.... yan ukiwa maeneo ya thailand ..malaysia au singapore we ukishaona demu ana sauti flan nzito na mashavu yamechongeka fulani na kwenye mikono humu kama ana misuli hivi ujue unaenda kukutana na mkuyenge badala ya papuchiEmbu tueleze unawajuaje kwamba huyu ni shemale?
Mbona wazuri hivi....!!
So huyo anaweza kumuingilia mwanamke kabisaa au ni impotent...!!maana daah!mtihani kweli huo!sio kwa uzuri huoondiomana mimi sikugundua hadi room ndio nikashangaa nakutana na mkuyenge acha tu
bei inatofautiana na sehemu uliyopo mimi hyo ilikuwa ni nje ya bangkok kidogo kama dar useme bunju hivi kuna kared light street kamoja.... alafu ukumbuke hilo lilikuwa ni shemale hawa always they are cheap compared to girlsIvi kumbe thailand wa malaya wapo so cheap..,,,,$40 allnight??????
[emoji106] [emoji107] [emoji203] [emoji725] [emoji724] [emoji724] [emoji724] [emoji724] [emoji724] [emoji724]Niko hivi; wakati naingia pale mapokezi nilimuona akiwa kakaa kwenye kochi ananyonyesha, nikadhani na yeye ni mteja tu, baada ya kuingia chumbani na kumtuma huyu mhudumu ndo akaja na huyo huyo bila mtoto huku kashika kanga moja nyepesi aisee. Walipoondoka tu nikafunga mlango kwa funguo na komeo kabisa.
Share kidogo hiyo ya bankok mkuucha ajabu sasa vurugu zangu zote bongo sijawahi kutokewa na tukio la ajabu zaidi ya kamchepuko kalikuwa kanaumwa presha ya kushuka nilitoka jasho hyo siki japo aliyekuwa anaumwa ni mwingine
yaani nilikuwa najiona kabisa navyotokea front page magazeti ya udaku... Mkaka Mtanashati Afiwa na Demu lodge
ila kisanga ni nilichokutana nacho bangkok huku kuvamia miji ya watu kubaya sana... ni tukio ambalo sitakuja lisahau pombe zilikata hapohapo
Mie nafumua tuu . yangu siisemi moja noma sanaHapo sawa nimekuelewa,ila kama analipa ungefumua tu