boris maganga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 382
- 378
- Thread starter
-
- #21
mkuu maji ya limao nimewahi kutumia,lakini kilichokuja kunisaidia ni mazoezKama huwezi vyote kunywa maji ya moto na limao asbh na jion inasaidia me ndo ninvyofanya hayo mengine yanataka moyo utaanza siku mbili ya tatu umeshaacha
Sijawahi experiencing unene yan..ingawa nautamanig somtimes..sema ndio vile hauwezi kuna ni mtu wa mazoezi sana mie.Niliwahi Kuwa mnene hadi nikawa najikatia tamaa jinsi nilivyo,unene usikie kwa jirani unachosha sana,kilo zangu hazikuwa chini ya kg120.sasa hivi Nina kg70.,kama unapiga gym na wewe ni mnene usinyanyue vyuma we pendelea kukimbia na kuruka kamba au kuendesha baskel Mazoezi haya yanapunguza mwili kwa kasi kuliko ..unapotoa jasho jingi ndivyo na uzito unashuka kwa haraka,Mimi nilifikia kuondoa hadi kilo 1 kwa siku.!
Karibu nikuendelezee ratiba..labda utapata moyo wa mazoezi kila siku.Mimi nashindwa kufanya mazoezi wala diet, Nikifanya mazoezi two weeks haziishi naingia majaribuni napumzika[emoji21]
unapoanza mazoez anza taratibu iwe nia kama tabia,usitumie nguvu nyingi sana unaweza kufanyia nyumbani,jiwekee utaratibu wa kuruka kamba mara 1000 kwa siku.inatoshaBongeee
unene sio wa kutamani ni mzigo.Sijawahi experiencing unene yan..ingawa nautamanig somtimes..sema ndio vile hauwezi kuna ni mtu wa mazoezi sana mie.
Hongera sana.Niliwahi Kuwa mnene hadi nikawa najikatia tamaa jinsi nilivyo,unene usikie kwa jirani unachosha sana,kilo zangu hazikuwa chini ya kg120.sasa hivi Nina kg70.,kama unapiga gym na wewe ni mnene usinyanyue vyuma we pendelea kukimbia na kuruka kamba au kuendesha baskel Mazoezi haya yanapunguza mwili kwa kasi kuliko ..unapotoa jasho jingi ndivyo na uzito unashuka kwa haraka,Mimi nilifikia kuondoa hadi kilo 1 kwa siku.!
punguza kula vyakula vya wanga usiku na vinywaji vya sukari.kunywa maji kiasi ya uvuguvugu yasio na kitu asubuhi halafu piga mazoezi mepesi utoke kajasho ,utaona matokeoNatamani sana kupungua ndugu zangu nilijitahidi sana na diet ila kwa sasa imenishinda
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Yes[emoji6]Bongeee
Shukrani sana mkuu... haitokuwa muendelezo ni mwanzo maana mmh...Karibu nikuendelezee ratiba..labda utapata moyo wa mazoezi kila siku.
Naona unataka uwe model[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Yes[emoji6]
Sio model bhana nataka nipungue at least 30kg au 20.... sipendi kuwa modo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona unataka uwe model
Wee eti 20kg siku ukipima alafu mizani ikasoma 20kg utaambiwa ukasage lishe kabisaSio model bhana nataka nipungue at least 30kg au 20.... sipendi kuwa modo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namaanisha nipunguze 110 - 30= 80Wee eti 20kg siku ukipima alafu mizani ikasoma 20kg utaambiwa ukasage lishe kabisa
Duu 110Kg yaani hapo upaja mmoja utakuwa unasoma 30Kg. Wewe kweli kuna haja ya kupungua aiseeNamaanisha nipunguze 110 - 30= 80
Nikifikisha 30 nitalia aiseee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaaa!!acha nipigie mstari kabisa kumbe sikukosea.Mimi nashindwa kufanya mazoezi wala diet, Nikifanya mazoezi two weeks haziishi naingia majaribuni napumzika[emoji21]
Ipo sana , uvivu tuu yaani nikianza leo kesho naacha, Nilikimbiaga gym kisa mazoezi magumu yani yule tutor alivoniona alinipigisha mazoezi nikahisi kufa kufa niliondoka na sikurudi tenaa.Duu 110Kg yaani hapo upaja mmoja utakuwa unasoma 30Kg. Wewe kweli kuna haja ya kupungua aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poleIpo sana , uvivu tuu yaani nikianza leo kesho naacha, Nilikimbiaga gym kisa mazoezi magumu yani yule tutorial alivoniona alinipigisha mazoezi nikahisi kufa kufa niliondoka na sikurudi tenaa.
Nakuja my dear[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaaa!!acha nipigie mstari kabisa kumbe sikukosea.
Pole njoo nikuelekeze jinsi ya kupungua
Mim Sijamtaja Mtu Ila Ndugu Yangu Cute WifeUna utani na Miss Natafuta[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]