Gemini, the intellectual and curious sign ruled by Mercury, is another zodiac sign more prone to atheism.
Mimi sijaandika chochote kuhusu Biblia au Qurankwaiyo baada ya kushindwa kupruvu uhalali wa biblia na quran km ni kweli vimetoka jwa muumba ndo mmehamia uku
Tar 10March tarehe gani exactly?
Hao hapo juu ndiyo wanaongoza kuwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu
Safi kabisa, Hata mimi naamini kama unavyoamini wewe, huwa nafunga siku yoyote nikipenda lakini sikumbuki mara ya mwisho kwaresma nilifunga mwaka ganiMimi nimezaliwa April naamin mungu yupo lakin huwa siamin kujiangaisha unapotaka kuzungumza na mungu wako kama wanavyofanya wajinga wengine eti wanafunga kula,sijui kukesha wakiomba mara kupiga magoti mara kubinuka na mengine mengi ya kujitesa tesa kama hayo na ndo maana huwa siendi kanisani na siamin eti mkijikusanya ndo mungu anakuwepo kati yenu hii ni kauli ya kibiashara,mungu yupo popote
Sawa mkuuSafi kabisa, Hata mimi naamini kama unavyoamini wewe, huwa nafunga siku yoyote nikipenda lakini sikumbuki mara ya mwisho kwaresma nilifunga mwaka gani
Kanisani naenda pia mara moja moja na wewe nakushauri mara moja moja nenda kanisani au msikitini kuna faida ya kuwa na wenzako mara moja moja
inawezekanaWewe ni mcha Mungu sana kwa asili
Mara nyingi unatumia Moyo badala ya Ubongo
Tarehe haina uhusiano na tabia, huu ni uzushi upuuzweWatu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist
Waliozaliwa kati ya
1. Januari 20 mpaka February 18
2. May 21 mpaka juni 20
3. August 23 mpaka September 22
4. December 22 mpaka January 19
Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)
Kama wewe ni mtu usiyeamini uwepo wa Mungu basi kuna uwezekano mkubwa umezaliwa kati ya tarehe hizo
Na kama hujazaliwa tarehe hizo basi kuna uwezekano umewahi kuishi au kuwa karibu na watu hao na wakakuambukiza hayo mashaka yao