Waliozaliwa tarehe zifuatazo wengi wao huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

inawezekana
Strengths: Compassionate, artistic, intuitive, gentle, wise, musical

Weaknesses: Fearful, overly trusting, sad, desire to escape reality, can be a victim or a martyr

Pisces likes: Being alone, love, sleeping, music, romance, swimming, spiritual themes

Pisces dislikes: Know-it-all, being criticized, the past coming back to haunt, cruelty of any kind

Cheza humo
 
Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist

Waliozaliwa kati ya

1. Januari 20 mpaka February 18

2. May 21 mpaka juni 20

3. August 23 mpaka September 22

4. December 22 mpaka January 19

Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

Kama wewe ni mtu usiyeamini uwepo wa Mungu basi kuna uwezekano mkubwa umezaliwa kati ya tarehe hizo

Na kama hujazaliwa tarehe hizo basi kuna uwezekano umewahi kuishi au kuwa karibu na watu hao na wakakuambukiza hayo mashaka yao
Nimecheka Sana maana Mie nimezaliwa January 20 alafu naona dalili kama za kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my 21061119AG using JamiiForums mobile app
 
It's true on seeking the nature and understand of everything, siwez bisha kabisa but there is always that devine power that always drive us on knowing what's true and what's wrong mambo ya nyota hayo anyway what you believe is always inside you
 
mbona mimi nimezaliwa April na simuamini Mungu
Na kama hujazaliwa tarehe hizo basi kuna uwezekano umewahi kuishi au kuwa karibu na watu hao na wakakuambukiza hayo mashaka yao.

Fuatilia watu uliokuwa nao wakati unafikia uamuzi huo wa kutoamini Mungu utagundua waliokushawishi wanacheza kwenye tarehe hizo
 
Ungesema kwanini watu wa tarehe hizo wanakosa imani mada yako ingekua na mashiko zaidi
 
Strengths: Compassionate, artistic, intuitive, gentle, wise, musical

Weaknesses: Fearful, overly trusting, sad, desire to escape reality, can be a victim or a martyr

Pisces likes: Being alone, love, sleeping, music, romance, swimming, spiritual themes

Pisces dislikes: Know-it-all, being criticized, the past coming back to haunt, cruelty of any kind

Cheza humo
Umelenga mule mule ila ondoa swimming hapo mi naogopa maji
 
Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist

Waliozaliwa kati ya

1. Januari 20 mpaka February 18

2. May 21 mpaka juni 20

3. August 23 mpaka September 22

4. December 22 mpaka January 19

Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

Kama wewe ni mtu usiyeamini uwepo wa Mungu basi kuna uwezekano mkubwa umezaliwa kati ya tarehe hizo

Na kama hujazaliwa tarehe hizo basi kuna uwezekano umewahi kuishi au kuwa karibu na watu hao na wakakuambukiza hayo mashaka yao

Theism is a culture also Atheism is a culture. Theism is a construction of mind made by very smart and intellectual people to create fear and total submission. Atheism is independently thinking, It involves the analysis based on logic and proof.
 
Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist

Waliozaliwa kati ya

1. Januari 20 mpaka February 18

2. May 21 mpaka juni 20

3. August 23 mpaka September 22

4. December 22 mpaka January 19

Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

Kama wewe ni mtu usiyeamini uwepo wa Mungu basi kuna uwezekano mkubwa umezaliwa kati ya tarehe hizo

Na kama hujazaliwa tarehe hizo basi kuna uwezekano umewahi kuishi au kuwa karibu na watu hao na wakakuambukiza hayo mashaka yao
Kwa hiyo Sisi wa oktoba na novemba ni fulu wacha Mungu?
 
Upo sahihi kabisa

Mpaka disemba 22 hivi

Lakini kuwa mcha Mungu haina maana huna mapungufu au huna dhambi

Kwenye hilo kundi la oktoba, Novemba na sehemu fulani ya disemba kuna wengine ni wacha Mungu sana lakini ndiyo wauwaji namba 1
 
Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist

Waliozaliwa kati ya

1. Januari 20 mpaka February 18

2. May 21 mpaka juni 20

3. August 23 mpaka September 22

4. December 22 mpaka January 19

Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

Kama wewe ni mtu usiyeamini uwepo wa Mungu basi kuna uwezekano mkubwa umezaliwa kati ya tarehe hizo

Na kama hujazaliwa tarehe hizo basi kuna uwezekano umewahi kuishi au kuwa karibu na watu hao na wakakuambukiza hayo mashaka yao
May 20 na kuendelea,namwamini Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo.
Acheni kujumuisha Mambo.
Hata hii miezi na siku aliziumba yeye.
Yeye Ni Mungu mkuuu,
 
Soma vizuri kabla hujakimbilia kujibu.

Nimekuambia WENGI WAO sijasema WOTE.

Pia hakuna sehemu nimesema yeye siyo Mungu mkuu au hajaumba tarehe

Soma zaidi...
 
Ningetaharuki kama ningekuwepo katika hizo assumptions, naona ni assumptions tu hazina ukweli ila pia sio always the case haina proof, au umetumia vigezo gani kusema hayo uliyoyasema
 
Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist

Waliozaliwa kati ya

1. Januari 20 mpaka February 18

2. May 21 mpaka juni 20

3. August 23 mpaka September 22

4. December 22 mpaka January 19

Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

Kama wewe ni mtu usiyeamini uwepo wa Mungu basi kuna uwezekano mkubwa umezaliwa kati ya tarehe hizo

Na kama hujazaliwa tarehe hizo basi kuna uwezekano umewahi kuishi au kuwa karibu na watu hao na wakakuambukiza hayo mashaka yao
Kuzaliwa kwa miezi hiyo kuna uhusiano gani na mtu kuwa na mashaka/kutokutambua uwepo wa Mungu.

Swala la kutambua kwamba kuna Mungu ama hakuna Mungu ni jambo la kiakili zaidi, halina uhusiano wowote na mtu kuzaliwa kipindi flani cha mwaka.

Mungu ni mawazo ya kizamani ya mwanadamu ambaye alitaka kupata jibu jepesi kwa kutumia logic nyepesi kulingana na uzoefu wa jinsi alivyo_uexperience ulimwengu katika point ndogo sana (katika dunia)

By the way Mungu anabaki kuwa ni mhusika wa hadithi tu, and he/she doesn't exist.
 
Back
Top Bottom