Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
✅Tarehe haina uhusiano na tabia, huu ni uzushi upuuzwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✅Tarehe haina uhusiano na tabia, huu ni uzushi upuuzwe
Post hii haina uhusiano juu ya uwepo au kutokuwepo kwa MunguKuzaliwa kwa miezi hiyo kuna uhusiano gani na mtu kuwa na mashaka/kutokutambua uwepo wa Mungu.
Swala la kutambua kwamba kuna Mungu ama hakuna Mungu ni jambo la kiakili zaidi, halina uhusiano wowote na mtu kuzaliwa kipindi flani cha mwaka.
Mungu ni mawazo ya kizamani ya mwanadamu ambaye alitaka kupata jibu jepesi kwa kutumia logic nyepesi kulingana na uzoefu wa jinsi alivyo_uexperience ulimwengu katika point ndogo sana (katika dunia)
By the way Mungu anabaki kuwa ni mhusika wa hadithi tu, and he/she doesn't exist.
Hakuna sehemu nimesema it's always the caseNingetaharuki kama ningekuwepo katika hizo assumptions, naona ni assumptions tu hazina ukweli ila pia sio always the case haina proof, au umetumia vigezo gani kusema hayo uliyoyasema
Haujui hata dhima kuu ya taarifa?Post hii haina uhusiano juu ya uwepo au kutokuwepo kwa Mungu
Kama huamini kama Mungu yupo naomba ufungue post nyingine kuelezea watu kuhusu hilo
Uhusiano huo unaotaka wewe tunaufahamu sisi tuliofanya hiyo research na hakuna wa kukulazimisha au kukubembeleza uamini
[emoji16][emoji16]kwaiyo baada ya kushindwa kupruvu uhalali wa biblia na quran km ni kweli vimetoka kwa muumba ndo mmehamia uku
Hata ulichosema wewe ni mtazamo wako na wala usifikiri mimi nitakukubaliana na maelezo yakoKuwa atheist hakuhusiani na muda wa kuzaliwa. Atheist ni matokeo ya watu kuishi kwenye uhalisia wa mambo na kuyachunguza yale yasiyojulikana ili kupata majibu yasiyokuwa na mashaka. Concept ya uwepo wa mungu imepingwa na atheists kwa sababu ya kukosa uhalisia na wameprove ni ya uongo kwasababu imejaa contradictions.ulichosema ni mtazamo wako na hakina uhalisia wowote.