Waliozaliwa tarehe zifuatazo wengi wao huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

Post hii haina uhusiano juu ya uwepo au kutokuwepo kwa Mungu

Kama huamini kama Mungu yupo naomba ufungue post nyingine kuelezea watu kuhusu hilo

Uhusiano huo unaotaka wewe tunaufahamu sisi tuliofanya hiyo research na hakuna wa kukulazimisha au kukubembeleza uamini
 
Ningetaharuki kama ningekuwepo katika hizo assumptions, naona ni assumptions tu hazina ukweli ila pia sio always the case haina proof, au umetumia vigezo gani kusema hayo uliyoyasema
Hakuna sehemu nimesema it's always the case


Huamini ni sawa, unaamini pia ni sawa

Sina muda hata dakika 1 ya kukubembeleza uamini ninachoamini mimi
 
Kuwa atheist hakuhusiani na muda wa kuzaliwa. Atheist ni matokeo ya watu kuishi kwenye uhalisia wa mambo na kuyachunguza yale yasiyojulikana ili kupata majibu yasiyokuwa na mashaka. Concept ya uwepo wa mungu imepingwa na atheists kwa sababu ya kukosa uhalisia na wameprove ni ya uongo kwasababu imejaa contradictions.ulichosema ni mtazamo wako na hakina uhalisia wowote.
 
Haujui hata dhima kuu ya taarifa?

Umeumia kupata maelezo kdogo ambayo yanaelezea tu jibu nlilokupa?

Nmeanza kwa kukuonesha namna ambavyo kipindi cha kuzaliwa hakina uhusiano na kuamini ama kutoamini habari za Mungu kulingana na mada hapo juu,
Mengine ni kama vielezi tu.

What is wrong with you!!
 
17 Dec, ila mie ni atheist, inakuajee hapo?
 
Hata ulichosema wewe ni mtazamo wako na wala usifikiri mimi nitakukubaliana na maelezo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…