Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Ina maana hicho kitengo ndio kinatumika kulichafua jeshi la police lionelane dhaifu.
Linamilikiwa.na kitengo Cha usalama nchini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linamilikiwa.na kitengo Cha usalama nchini
Hata kandanda ni dini kama ulikuwa haujui.Mkuu acha kuchafua dini za watu kwa kuhusisha na wahuni wachache.
Kosa la kwanza alilofanya faza nation, adui ni mmoja tu hapo 'ujinga'. Hao wengine ni matokeo ya huyo mmojaMaadui Wa Nchi Yetu Ni Hawa:-
1. Umasikini...
Wajinga ni Wengi Mpaka PhDKosa la kwanza alilofanya faza nation, adui ni mmoja tu hapo 'ujinga'. Hao wengine ni matokeo ya huyo mmoja
Tukifocuss kwenye kum-eliminate 'ujinga' na hao wengine watapotea automatically
Hapo sasa adui amefanya infiltration, vita inakua ngumu zaidi ila tukipambana tutamshindaWajinga Ni Wengi Mpaka PhD
Nani?Kuna mtu akiondoka itakua shangwe badala ya huzuni maana wameonea sana wengi kwa uzushi
Halafu serikali hii ya awamu ya tano inashangaa pale wanapo ombewa wao vifo.. Kumbe serikali yao ndio ina double standards.Hao waliofanya kitendo hiki hawatachukuliwa hatua yeyote.
KumekuchaKwa hiyo hata Majaliwa alisema uongo kwenye Mimbari kwa nia njema?
mekoNani?
Leo yule alie sema atakwenda kuwa mkuu wa malaika kasali wapi?? Nauliza tu!!Hawa wamechangia sana chuki dhidi ya serikali.
Wanajiona Wao Bora Kuliko Sisi!!Wanasiasa walio wengi ni 'wajinga'
Hakuna dini inayofundisha uongo na uzushi.Habib Mchange ni dini gani?
Kuna dini kusema uongo kwa nia njema siyo dhambi bwashee!
Adui ni mmoja tu ujinga. Ukishakuwa mjinga ni vigumu kukwepa umaskini na maradhi. Tena unakuwa mwepesi kudanganyika, you see!Maadui Wa Nchi Yetu Ni Hawa:-
1. Umasikini..
Ndiyo Ukweli WenyeweAdui ni mmoja tu ujinga. Ukishakuwa mjinga ni vigumu kukwepa umaskini na maradhi. Tena unakuwa mwepesi kudanganyika, you see!
Hipo hivyo mkuu. Yesu alisema Kwa kadili mtakavyo watu wawatendee anzeni kuwatendea ninyi. Akaema tena auwae Kwa upanga atakufa Kwa upanga pia. Pia Lile unalolitenda leo kesho litakurudiaKumbe nikweli walivyosema wahenga malipo yapo hapahapa duniani wengi waliotenda maovu tumeshudua yakiwarudia 'back firing'
Ndiyo Ukweli Wenyewemeko
Usiite kitengo Cha usalama maana usifananishe usalama na Mambo ya kingese hawawezi kuwa usalama achilia mbali taifaLinamilikiwa.na kitengo Cha usalama nchini