Waliozusha vifo vya Mbowe, Mrema, Maria Sarungi na leo mzee Sarungi wanajulikana

Wanasiasa walio wengi ni 'wajinga'
 
Maadui Wa Nchi Yetu Ni Hawa:-
1. Umasikini...
Kosa la kwanza alilofanya faza nation, adui ni mmoja tu hapo 'ujinga'. Hao wengine ni matokeo ya huyo mmoja
Tukifocuss kwenye kum-eliminate 'ujinga' na hao wengine watapotea automatically
 
Adui ni mmoja tu ujinga. Ukishakuwa mjinga ni vigumu kukwepa umaskini na maradhi. Tena unakuwa mwepesi kudanganyika, you see!
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Kumbe nikweli walivyosema wahenga malipo yapo hapahapa duniani wengi waliotenda maovu tumeshudua yakiwarudia 'back firing'
Hipo hivyo mkuu. Yesu alisema Kwa kadili mtakavyo watu wawatendee anzeni kuwatendea ninyi. Akaema tena auwae Kwa upanga atakufa Kwa upanga pia. Pia Lile unalolitenda leo kesho litakurudia
 
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Tunatishana Sana Ndugu Zangu
Wengine Siyo Waandishi Wa Habari Utawasikia Vigogo Wafa!
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…