Waliozusha vifo vya Mbowe, Mrema, Maria Sarungi na leo mzee Sarungi wanajulikana

Usiite kitengo Cha usalama maana usifananishe usalama na Mambo ya kingese hawawezi kuwa usalama achilia mbali taifa
Nakubaliana na wewe.. hakuna usalama wana act reckless kiasi hichi.. hawa ni chawa wa CCM ambao wanapata kinga kutoka kwenye vyombo vya usalama.. Ila naamini kuna siku watakuwa responsible kwa hizi habari
 
Wapinzani inaonekana ni kama mbwa ndani ya nchi yao hakuna mamlaka inayowajali hata kidogo, ndiyo hii inajenga chuki mbaya sn
 
Magazetiyanafadhiliwa na kampuni ya ndege ya taifa ATCL (ambayo mkaguzi mkuu wa serikali haruhusiwi kuikagua), pia mashine ya kuyachapisha ziko kwenye jengo la usalama wa taifa halafu mnauliza kwanini hawachukuliwi hatua? Mmesahau hata Ex Waziri wa habari alishawahi kusema kuwa mmiliki wake hawawawezi kumchukulia hatua maana hakuna aliyemshtaki.
 
Tunapohoji sio kwamba hatujui ni kuweka kumbukumbu sawa na kuwataarifu kuwa wanayofanya yote yanajulikana.
 
Ni mzima wa Afya njema....Bwana ni mwema.......mbona hatangazi kazi anazofanya gizani huyu mteule wa Bwana?
 
Wamelikoroga lazima walinywe. Awamu hii imetia fora kuchchea ubaguzi na upendeleo. Sasa inakula kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…