Waliozusha vifo vya Mbowe, Mrema, Maria Sarungi na leo mzee Sarungi wanajulikana

Tunapokubali kuwa sehemu ya utekelezaji wa mpango! Kongole ziende kwa mpangaji mkakati.

Nikikutusi ukacheka mimi niliyekutusi naumia zaidi kuliku niliyemtusi.

Itatuchukua muda Sana kuelewa na tutakapoelewa na mbinu zitakua zimebadilika na au pengine muda utakua umekwishe...
 
Wapinzani wanahaki ya kuzushiwa kifo ama kuuliwa kabisa lakini sio Miungu ya kijani
 
Yaani hizo gazeti za Musiba zinazidiwa manunuzi na toilet paper
 
Umenena vyema mkuu
 
Yaani Tundu lissu, Mnyika, salum mwalim, Gwarugwa plus Faru John utegemee kupata taarifa reliable kweliiiiiiiiiiiiiiiiii du chadema majanga matupu. Hongera Halima &co kwa kujitambua, hata hivyo mmepoteza muda wenu sana huko
 
Rudia kusoma mada hata headlines tu ndo u comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…